Vichwa vya Habari Magazetini Wiki Hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vichwa vya Habari Magazetini Wiki Hii

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Head teacher, Aug 12, 2012.

 1. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #1
  Aug 12, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Daah, sijui nianzie na gazeti gani la jumatatu. Maana kuna habari mbili kuu. Ya kufurahisha , na Ya Kuchekesha. Sipati picha magazeti ya wiki hii..! Itabidi mengine yaahirishe habari za michezo na burudani ili kuongeza nafasi ya masuala haya ma-2. Nadhani

  Tanzania Daima itaandika: Mabwepande Hoi, Ulimboka aitoa jasho Serikali.

  Mwananchi: Nape awa Kituko cha Wikiendi

  Magazeti mengine yataandikaje wiki hii....
  ......
  .......
   
 2. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #2
  Aug 13, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ulimboka aitetemesha nchi.
   
 3. themagainst

  themagainst Member

  #3
  Aug 13, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Dr.ulimboka karudi,mgomo madaktari unaanza tena
   
 4. The Listener

  The Listener JF-Expert Member

  #4
  Aug 13, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 977
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35

  KATIKA HABARI ZA MICHEZO: Watalii warejea toka olimpiki
  1. Gidabuday ahaha kumtafuta Bayi Airport
  2. Longolongo na visingizio kama kawa
  3.Wapokeaji wasio ndugu wawazomea
  4.Viongozi wakataa kuongea na waandishi wa habari
   
Loading...