Afadhali Kikwete kuliko Rais ajaye | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Afadhali Kikwete kuliko Rais ajaye

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Moses Kyando, Jul 3, 2011.

 1. Moses Kyando

  Moses Kyando Member

  #1
  Jul 3, 2011
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uzoefu unaonesha kwamba siku zote watu huona nafuu ya jambo lililopita kuliko walilonalo kwa wakati huo. Pamoja na mawaa na Kashfa za Rais mstaafu Ben Mkapa lakini bado miongoni mwa Watanzania waliowengi anaonekana alikuwa kiongozi mwenye uthubutu kuliko Kikwete ingawa wanahabari wenzake hawakumpenda.

  Kwa hivyo ikiwa rais ajaye atatoka CCM kuna uwezekano mkubwa akawa rais wa ovyo kabisa watu wakamlilia Kikwete. Naomba kuwasilisha
  :mimba:
   
 2. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  Hivi raisi ajaye bado atatoka Magamba?
   
 3. Moses Kyando

  Moses Kyando Member

  #3
  Jul 3, 2011
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ikiwa atatoka magamba basi habari itakuwa ndo hiyo mkuu
   
 4. chipanga

  chipanga JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 661
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 60
  Shangaa na wewe ndugu Inkoskaz! Chama chenyewe kiko ICU halafu mtu anawaza eti kitoe rais.
   
 5. Gobret

  Gobret JF-Expert Member

  #5
  Jul 3, 2011
  Joined: Jun 11, 2010
  Messages: 320
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Huyu mme wa salma huwezi kumlinganisha na rais yeyote ajaye hata wale ambao hatutawaona. Hana akili vizuri. Mcheza shoo toka lini akawa rais. Kweli Watz na sisi?
   
 6. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #6
  Jul 3, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,299
  Likes Received: 3,034
  Trophy Points: 280
  Pamoja na kwamba kimefulia lkn kwa jinsi watz tulivyo...(kanga na kofia) tutawapa tu kina magamba.
   
 7. Ballerina

  Ballerina JF-Expert Member

  #7
  Jul 3, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 388
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Itategemea atatoka CCM ipi.....kuna CCM MAGAMBA na CCM WAZALENDO.............,Japokuwa wazo la kumtoa Rais CCM lilishafutika akilini mwangu kwakuwa kambi ya CCM WAZALENDO imemezwa na CCM MAGAMBA!
   
 8. i411

  i411 JF-Expert Member

  #8
  Jul 4, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Kwani dunia hii wananchi wanachaguaga raisi au wenye nchi ndo huchagua kibaraka wao.
   
 9. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #9
  Jul 4, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Kama kuna ambaye atafaa mwaka 2015 kutoka MAGAMBA, kwanini saa hizi haonekani kupinga upumbafu huu unaoonekana?
  Anasubiri nini?...Mpaka apewe madaraka?...HATUFAI!
   
 10. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #10
  Jul 4, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280

  yaani kikwete naye ni rais wa kuja kukumbukwa!!! dahhh kweli kazi ipo..Yaani akumbukwe kwa kufanya nini ?kuchekacheka au kujipakaza mipoda
   
 11. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #11
  Jul 4, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,086
  Trophy Points: 280
  jibu ndilo hilo nadhani
   
 12. s

  sitakiudini New Member

  #12
  Jul 4, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Suala si kumlilia Kikwete lakini yeye mtu alomwandaa ni mbovu na hafai kwa amemwandaa kwa maslahi yake. JK amemwandaa mtu kwa mrengo wa kueneza udini yaani wanawapigia kelele chadema ili kuwahadaa waislamu lkn ccm ndo yenye mamlaka na ambayo haki nyingi za wananchi wakiwemo waislamu zimeporwa. Kwa sasa wanatumia udini kutaka madaraka, wanadiriki kuwaambia wenzao wadini huku wao wanapandikiza udini kwenye jamii yetu. Nakumbuka Samwel Malechela alidaiwa kubadili dini kuhadaa waislamu kuwa mwenzao ili agombee uraisi. kundi la CCM JK ili kulinda maslahi na kupata wa kuwalinda baada ya kumaliza muda wa uraisi, wamemwandaa Bernad Camilius Membe kuwa Raisi 2015 baada naye kubadili dini kuwa mwislamu. Ni ruksa kwa mtu yeyote kubadili dini lakini si kwa kutaka madaraka. Hata hoja ya kujivua gamba ya CCM haina lolote bali ni kummaliza Lowasa ili asigombee uraisi kwani nguvu yake haiwezi kupambana na akina Membe. Kikwete amewaahidi waislamu kuwa atahakikisha anaiacha nchi kwa muislamu mwenzake ili kufidia miaka wanayodai walinyanyaswa na awamu ya mwl Nyerere. Ukweli Serikali ya JK imejaa udini kila mahala kuanzia kwenye vyuo hadi makazini. Watanzania tuamke tukemee hali hii, itatafuna umoja wetu. Wengi hawajua mtego huu hata CCM akina Mukama, Nape wanatumiwa bila kujua. Walianza kuimaliza Chadema lakini agenda yao ni hiyo. Naomba wanazuoni wa kiislamu msidanganyike na mtu kama membe anayeuona uislamu mzuri sasa kwa sababu eti anataka urais, anataka abebwe lkn atawasalti na kwa wakristu pia anataka wahadaike na jina lake. Mi nasema ni heri agombee ama muislamu ama mkritu anayejulikana tumpima kwa uwezo wake kuiongoza nchi lakini si kwa yeye kubadili dini ama kuwa muislamu ama kuwa mkristu kuhaa upande mmoja. Mimi sitaki viongozi wadini kama JK
   
 13. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #13
  Jul 4, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Who is kikwete? ni yule anayependa kupiga picha na wazungu? yule anayeongea anachekacheka? yule anamaneno mengi na kila kitu anachukulia rahisirahisi tu? CCM ina utapia mlo! CCM haitakuja itoe rahisi mzuri tena baada ya Mh. B. W. Mkapa (Ben Mkapa). Hivyo basi CCM haina nafasi tena ya uongozi ktk nji hii. Kinaporomoka kwa kasi kubwa saana yahani. Kumbukeni Nyerere alimkataa handsome mwaka 1995 kwa sababu alijua hamna kitu pale.
   
 14. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #14
  Jul 4, 2011
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Mkuu kukumbukwa atakumbukwa, issue ni atakumbukwa kwa lipi? mimi nitamkumbuka kwa kwenda mabembeani kule USA na kuanguka anguka.
   
 15. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #15
  Jul 4, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Usisahau Dr.Asha Migiro!
   
 16. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #16
  Jul 4, 2011
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Jamani, una maana mnataka Dr. AshaRose Migiro ndiye mnapendekeaza awe raisi mwaka 2015?
  Kusema kweli yule mama ni mpole na mnyenyekevu kama atapendekezwa kuwa raisi na akapata watendaji wazuri hata mimi naona anafaa. Tuombe Mungu atuchagulie pia.
   
 17. Ballerina

  Ballerina JF-Expert Member

  #17
  Jul 4, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 388
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ...............Ni yule anayezunguka nchi mbalimbali kuomba misaada kila kukicha na kuchekelea huku akijisifu kila anapofanikiwa kuipata au kuahidiwa kupewa............
   
 18. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #18
  Jul 4, 2011
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  atakumbukwa kwa kuleta msaada wa vyandarua
   
 19. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #19
  Jul 4, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Rais ajaye atakuwa mwanajeshi na serikali itaitwa serikali ya mapinduzi
   
 20. A

  Anold JF-Expert Member

  #20
  Jul 4, 2011
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,380
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  Pamoja na kuwa ccm wanamambo yanayoudhi sana lakini bado tutegemee rais ajaye atatoka kwenye chama hicho. Ni bahati mbaya sana!!!!!
   
Loading...