fedha za sensa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

fedha za sensa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mwela, Aug 13, 2012.

 1. m

  mwela Member

  #1
  Aug 13, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  kwa mwenyd update jamani fedha za watu walioko kwa semina watalipwa lini maake siku zina songa tu.
   
 2. NGOGO CHINAVACH

  NGOGO CHINAVACH Verified User

  #2
  Aug 13, 2012
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 797
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 60
  We kata gan?
   
 3. M

  Mzee wa fund JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 520
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nikweli,hata wilaya ya mbozi bado hatujalipwa.Nadhani maandalizi ya sensa ya mwaka 2012 simazuri kwa sababu huwezi kuwaita watu kwa semina zaidi ya siku tano(5)bila malipo.Wana dhani sisi watu wa semina twala nini pamoja na nauli twapata wapi?.
   
 4. M

  Mzee wa fund JF-Expert Member

  #4
  Aug 13, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 520
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama hazina ya TAIFA imefilisika,nadhani jambo jema ni kuutarifu uma wa WATANZANIA,na kusitisha zoezi la sensa.NO MONEY(FUND) NO PROGRAME.
   
Loading...