Habari za muda huu naamini ni salama. Kesho alhamisi mkuu mpya wa wilaya ya SIHA katangaza utambulisho mzito katika vijiji viwili vya Tindigani na Makiwaru nafurahi sana kwa utambulisho huu hila...
Hii ni sensa ya tano(05) tangu Tanzania ipate uhuru wake.Wananchi wanaombwa wawe tayari kujibu maswali kuanzia 1-37 au 1-62;hii ina maana kwamba kuna watu watakaojibu maswali 37 na kuna wengine...
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, amewapiga marufuku viongozi wa serikali kuhudhuria katika mikutano ya wananchi ya kukusanya maoni ya katiba.
Jaji Warioba...
Tulikuwa tunajadiliana jana "Who benefit the census??"
Jamaa akasema hii ni biashara hatari sana, viongozi waandamizi wanajilipa kwa nguvu muda huu toka mawizarani, mikoani hadi wilayani...
(Joseph Mbilinyi
‎...na kwa suala la dr ulimboka kutekwa na kuteswa na serikali...rais kikwete na serikali yake moja kwa moja wanaingia kwenye orodha ya tawala za afrika na dunia zilizotumia...
Wana jamii nimekuwa nikiwaza jambo hii la kila influencial figure, wasomi, waganga wa kienyeji, wananziki n.k kutaka kuwa wanasiasa katika nchi yetu, hali inayopelekea kuzorotesha maendeleo ya...
kila kila kona ya nchi watu wanajivua gamba kweli hii balaa mpaka tufike 2015 tutaona mengi
CHADEMA Newala yazoa 276 CCM
VUGUVUGU la Mabadiliko (M4C) linaloendeshwa na Chama cha...
hi,naomba ushauri kwa wale wanaoishi au waliowahi kuishi mkoa wa rukwa wanipe information kwa kifupi kuhusu huko mana naitaji kuhamia kibiashara zaidi hasa zile za kuzunguka minadani,naomba...
Haya ni maneno ya kigwangala kupitia profile yake ya facebook....
"...........Msemakweli siku zote huchukiwa na marafiki zake. Nikipatwa na ajali kama hiyo.....hebu malizia hii nukuu ya Babu...
Wakuu na wadau mbalimbali wa conspiracy theories especially za kiuchumi na kisiasa
..Akina (GT, Shy...etc) kama kuna mwenye nazo jamani nami nahitaji kufunuliwa.
Ndugu wanaCCM wote mtakaohudhuria sherehe hii ya tarehe 08/25/2012, please take with you makaratasi yako.
Jamaa wametonywa kuhusu illegal immigrants, Wauza Bangi/unga, Traveller checks dealers...
Kadri siku siku zinavyokwenda na hasa mwezi huu mtukufu naona viongozi wetu wanakazana sana kujumuisha watu kwa ajili ya vyakula...na hata kufungua tawi naona wanasisitiza chakula na vinywaji ni...
Monday, 13 August 2012 08:13
Daniel Mjema, Dodoma
NAIBU Spika wa Bunge, Job Ndugai, amewataka waandishi wa habari nchini kuandika habari zitakazowapa picha halisi ya maendeleo makubwa...
Kwenye Gazeti la Dira ya Mtanzania la leo kuna taarifa kuwa makamanda wa JWTZ wamempiga mkwara mzito 'Kapteni' Lowassa kwa ile kauli yake ya wiki iliyopita kwamba JWTZ ipo tayari kuingia vitani na...
kuna mengi yanatokea yakituumiza sana sisi wenye kipato cha chini....haya ni mfano tu ukiwa na yako ongezea pia
1.Twiga wanapanda ndege,Mtanzania wa kawaida anaangaishwa pata passport
2.viongozi...
Januari Makamba ni kweli amejitahidi sana kujieleza ingawa binafsi nime note mapungufu kadhaa ambayo nitayataja pengine kwa upeo wangu mdogo lakini nia ikiwa kumsaidia tu mawazo iwapo atapita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.