Walimu - Now, this is the right move!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Walimu - Now, this is the right move!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Prisoner 46664, Aug 13, 2012.

 1. Prisoner 46664

  Prisoner 46664 JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2012
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 1,955
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Wakuu,

  Kuna habari zimezagaa kwenye magazeti yetu ya leo kuwa walimu wana mpango wa kutumia wingi wao na uzoefu kuiangusha CCM ifikapo 2015.Binafsi ninawiwa kutoa pongezi za dhati kwa yeyote aliyeanzisha fikra hii kwa sababu hili ndilo suluhisho zuri dhidi ya hawa wezi wanaoiba mali ya umma na mkigoma ili kuwauliza wanawatishia kuwafukuza kazi.

  Kwa hivyo tayari tuna kura za madaktari,walimu,vijana wote wenye kujitambua,..kila la kheri Dr. Slaa na operesheni 'sambaza elimu vijijini'..ikulu ni yetu 2015.

  Peeooopleeee's poooooooweeeer!!
   
 2. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 738
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Walimu wetu ni vigeugeu sana. Haya matatizo yao hayakuanza leo lakini kila mwaka hawabadiriki. Walipaswa kuamka siku nyingi sana badala ya kugoma. Walimu waamke wachukue nafasi yao katika jamii.
   
 3. Msalagambwe

  Msalagambwe JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Hakuna kisicho na wisho,
  Mwanzo wa walimu kuamka,
  Mwisho wa utawala dharimu wa CCM.
   
 4. Prisoner 46664

  Prisoner 46664 JF-Expert Member

  #4
  Aug 13, 2012
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 1,955
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Nakubaliana na wewe gunner,
  Naona kwa kiasi fulani serikali ilisahau ule msemo wa 'wengi wape' ama watajichukulia wenyewe..
   
 5. Prisoner 46664

  Prisoner 46664 JF-Expert Member

  #5
  Aug 13, 2012
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 1,955
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Word mkuu...nguvu ya umma
   
Loading...