Leo maji mjini tabora kituko | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Leo maji mjini tabora kituko

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KELVIN GASPER, Aug 13, 2012.

 1. KELVIN GASPER

  KELVIN GASPER JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 906
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  Mabomba katika manispaa ya tabora yanatoa maji mithili ya supu ya utumbo ambao haukukamuliwa. mlioko manispaa hii najua mtaniunga mkono.
   
 2. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 11,535
  Likes Received: 950
  Trophy Points: 280
  Endeleeni kuvumilia, mlipewa nafasi ya kuyabadili hayo yote twenty ten mkaamua kumpa Msomali anayeishi Dar, hayo matatizo yenu atayaelewa vipi?
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,639
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  sio dar tu kaachana na bunge kisa mbuyu facebook kumsajili...
   
Loading...