Chajenga nchi sasa cha filisika kisera | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chajenga nchi sasa cha filisika kisera

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by De chris, Aug 13, 2012.

 1. D

  De chris Member

  #1
  Aug 13, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  katika hali isiyo ya kawaida kiongozi mwandamizi wa chama cha kijani alionekana akikosoa madudu ya chama kikuu pinzani kuwa wanawadanganya wananchi kwa kuwachangisha pesa wakati sio kweli chama hicho kinapata pesa nyingi kutoka kwa wafadhili,kwa mtazamo wangu chama hiki sasa kinafilisika kimawazo,kisera na badala yake wameanza kutapakanya fitina,chuki na ubinafsi ni mara ngapi? wao wemekuwa wakichota mapesa ya serikali bila mpangilio na kufanyia kampeni zao za changu mabalimbali.chama cha kijani kimeshaharibu sana hadi wakafikia kujivua gamba kituambacho wameshindwa,kwani swala hilo lingegusa wengi.wavaa gwanda fanyeni kazi mlete mabadliko yanayoendana na mfumo wa sasa wa kiuchumi na kisiasa tumechoka na lips works, call the dog by its name it will bark.
   
Loading...