Wadau samahani kwa usumbufu .nimetuma pesa kupitia tigo pesa kwa no ambayo siyo mlengwa nikipiga huduma wananiambia fb,twitter nini sijuwi.nifanyaje no yenyewe ni 0714933133
Umenipita speed kali mida hii ukieleka uwanja wa ndege ukiwa na msafara wa magari mengi. Roho imeniuma sana kwa jinsi unavyo teketeza kodi zetu sisi walala hoi.
Safari zako siziunga mkono labda...
Katika kupita pita nchi hii, nimepita stendi ya Mkoa wa Mororogoro, ambayo kwa maoni yangu, ndio stendi yenye wafanyakazi pamoja na wachuuzi wachafu kupindukia. Uchafu wa wakazi unadhihirisha...
akizungumza katika awamu ya pili ya kipindi cha dakika 45 kinachorushwa hawan na katuo cha itv..mbunge wa mondul na mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya bunge ya mambo ya nje mh. lowasa amewataka...
Ndo mana wakubwa na wenye fedha zao hutibiwa mbali! Ni aibu na fedheha! Hebu sikia hii: Wewe ni mwanaume. Jirani yako ni daktari mwanaume. Mkeo anapata tatizo la 'K' na kupelekwa kwa huyo dk. na...
CHADEMA WADAIWA KUWAPA RUSHWA VIONGOZI JUMUIA YA WATANZANIA WAISHIO WASHINGTON DC KUFANIKISHISHA MNUSO, JUMAMOSI HII
UONGOZI DMV
WASHINGTON DC
MWENYEKITI, Katibu na Mweka hazina, wa...
BBC wametanagza kuanza kuyrusha matangazo yao ya tv ya dira ya dunia hasa ya kiswahili lakini kituko ni kuwa hawa jamaa hawana frequency zozote bali wanatumia star tv,wakati star tv kupatikana...
Mwaka mmoja uliopita tuiliuzwa (outsourced) toka mtandao unaoongoza Tanzania, na tukaambiwa ajira zetu ziko salama kwa mwaka mmoja. Mwaka na miezi sita baadae hii kampuni tuliyopo yenye makao yake...
Maandamano yaliyopangwa kufanyika leo na wafuasi wa chadema yametawanywa na polisi,baada ya kutangazwa kuwa maandamano hayo ni batil na kwamba yanahatarisha usalama.mabomu ya machozi na nguvu ya...
Kama kuna kitu cha kushauri kwa sasa kwa wanafunzi walipo UDSM ni kwamba wahakikishe utaratibu wa kupewa vyeti vya taaluma mbali mbali wanazo hitimu unabadilishwa.Kwani utaratibu ulipo sasa wa...
Wadau, JF, ni jambo la aibu serikali ya TZ kuwapa wasonjo nyama ya pundamilia kama walivyoagiza, kama ruzuku ya shughuli ya sensa. Unafiki umekita mzizi Kutaja wakati wote KIBERA huku maskini...
Kwenye pitapita zangu katika magazeti tofauti hapa Uchina, nimeipata hii makala inayomhusu Mtanzania mwenzetu ambaye amenukuliwa kwenye jarida (shirika la habari) moja kubwa duniani. Pamoja na...
Wana jamvi hebu nisaidieni hapa nimepokea ujumbe huu muda si mrefu nimeshindwa kujua kama ni matapeli au vp'kwa sababu sijashiriki bahati nasibu yeyote
MOI
YOUR MOBILE NUMBER HAS BEEN WON...
katika hali isiyo ya kawaida mahakama kadhaa mkoani tanga leo wameshindwa kuendesha shughuli zake kutoka na magari yanayotumika kuleta watuhumiwa kushindwa kufika mahakani kutoka na kukosa...
Michuzi katika bandiko muhimu leo kwenye blog yake, amesema kumekuwepo na upungufu mkubwa wa picha zinazoingia kwenye mtiririko wa blog yake kila siku kutokana na vyama vya siasa kutopeleka picha...
Nimeshuhudia mwenyewe karani akitolewa nje kwa kukosa kitambulisho na Uniform, hivyo akaambiwa awalete viongozi wa mtaa ili aruhusiwe kuendelea na zoezi. Kwa hali hii sijui nani alaumiwe...
#18 Mwigulu Nchemba 2012-08-22 16:05
"Huo ni uonevu kwa chama chetu,lakini kwa kuwa mahakama na vyombo vyote vya dola viko chini ya serikali inayoongozwa na sisi yaani CCM kitaeleweka tu,na pili...
Mbunge wa Mvomero Amos Makala ameamua kurudi haraka jimboni kwake mvomero na kuanza kugawa jezi na mipira kama njia ya kutuliza upepo mkali wa M4c, watu wanataka maendeleo na sio mipira na jezi...
Hili taifa ni letu sote. Isikubaliwe mtu au kikundi cho chote cha watu (nadni na nje ya nchi) kuendesha au kushawishi mambo ya kitaifa kana kwamba ni lao peke yao!:yawn: