Maandamano Chadema Morogoro yatawanywa na polisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandamano Chadema Morogoro yatawanywa na polisi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LUCIFER, Aug 27, 2012.

 1. LUCIFER

  LUCIFER Senior Member

  #1
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 181
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Maandamano yaliyopangwa kufanyika leo na wafuasi wa chadema yametawanywa na polisi,baada ya kutangazwa kuwa maandamano hayo ni batil na kwamba yanahatarisha usalama.mabomu ya machozi na nguvu ya dola imetumika katika kuwatawanya waandamanaji.tukio hilo limetokea maeneo ya Msamvu ambapo maandamano hayo ndipo yalipoanzia..mpaka sasa hali si shwar,biashara zimefungwa huku kukiwa na kamata kamata isiyo mfano.
   
 2. M

  MIRIJA IKATWE Senior Member

  #2
  Aug 27, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  polisisiem hawana mchezo, we waache tu ipo siku
   
 3. s

  special agent JF-Expert Member

  #3
  Aug 27, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 328
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  kuna taarifa kuwa mtu mmoja amepigwa risasi ya kichwa kwenye maandamano hayo chanzo radio one sterio
   
 4. s

  said kikaa Senior Member

  #4
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 108
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  polen kwa yaliyowakuta...lakin jifunzen kutii mamlaka iliyopo., vuta picha 2016 ccm wazuiwe kuandamana then wasitii amri,unadhan serekal ya chadema itawanyamazia tu...
   
Loading...