Edwad lowasa azungumzia kuchukua nchi 2015..

said kikaa

Senior Member
Aug 7, 2012
108
23
akizungumza katika awamu ya pili ya kipindi cha dakika 45 kinachorushwa hawan na katuo cha itv..mbunge wa mondul na mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya bunge ya mambo ya nje mh. lowasa amewataka watanzania wasikate tamaa na wakati kutambua kama atawania urais ukifika itafahamika.awali akijibu maswali alionekana kukerwa na tabia ya sasa ya viongozi kulalamika pamoja na wananchi wao ilhali walipaswa kutoa na kusimamia maamuzi,. pia ameitaka serikali isiwadharau walimu.
 
nitavuka daraja,nilifikia.I wl cross the bridge wen i wl reach it.To me,naic huyu bwana kama vile He has a dream to sth.kama cyo unafiki na cheap popularity,bt nadhani cyo kiivyo naona cyo Lowasa wa enzi za mwl.Anaonekana kama vile ni mcha Mungu kwa sasa.Hekima ya Mungu ni kukaa kmya....naquote.Kama atasimama ktk NYINYIEM nampa yangu.unles other wise.Kama vile anaweza na naona anaweza.Cjui kama anaweza kuwa White snake in th whte glass.the 2015 is ripe .
 
Back
Top Bottom