sarikali mnadhalilisha mahamaka zetu!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

sarikali mnadhalilisha mahamaka zetu!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Asango, Aug 27, 2012.

 1. Asango

  Asango JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 234
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  katika hali isiyo ya kawaida mahakama kadhaa mkoani tanga leo wameshindwa kuendesha shughuli zake kutoka na magari yanayotumika kuleta watuhumiwa kushindwa kufika mahakani kutoka na kukosa mfuta.habar zilizonifikia mahakimu na watu wengine walifika mahakani hapo asubuhi lakini watuhumiwa hola! Huu sio udhalilishaji wa mahakama zetu ambazo ni nguzo muhimu kwenye nchi yetu?
   
 2. Iron Lady

  Iron Lady JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2012
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 4,077
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  kwao hicho sio kipaumbele kuna mambo ambayo wanayapa kipaumbele ndio maana watu husema ni dha..............
   
 3. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #3
  Aug 27, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  Haturuhusiwiw kusema lolote mambo yapo mahakamani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
Loading...