Makala upepo wa m4c umekuumia hadi unarudi jimbo kugawa jezi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makala upepo wa m4c umekuumia hadi unarudi jimbo kugawa jezi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Man 4 M4C, Aug 27, 2012.

 1. Man 4 M4C

  Man 4 M4C JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 737
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mbunge wa Mvomero Amos Makala ameamua kurudi haraka jimboni kwake mvomero na kuanza kugawa jezi na mipira kama njia ya kutuliza upepo mkali wa M4c, watu wanataka maendeleo na sio mipira na jezi. waeleze pesa za mfuko wa jimbo mwaka 2010 - 75m,mwaka -2011 85m namwaka 2012 105M zimefanya kazi gani? Usiwadanganye watu kwa jezi na mipira. Jezi ni laki moja na mpira ni sh 40,000.00.

  Habari ndiyo hiyo, wana mvomero kuweni makini msidanganywe kwa vitu vidogo vidogo chaguen cdm,au cuf au mpinzani yeyote. Mshikaji hana jipya. muulizeni change yenu ya mfuko wa jimbo.
   
 2. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kila inapopita M4C wabunge wa magamba wanatetemeka! wanachi wanaanza kujitambua! wanapewa elimu ya uraia, wanajitambua M4C mpaka kieleweke!
   
Loading...