Serikali ya Tanzania yawaruzuku wenyeji nyama ya pundamilia katika shughuli ya sensa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali ya Tanzania yawaruzuku wenyeji nyama ya pundamilia katika shughuli ya sensa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kabaridi, Aug 25, 2012.

 1. Kabaridi

  Kabaridi JF-Expert Member

  #1
  Aug 25, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 2,028
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Wadau, JF, ni jambo la aibu serikali ya TZ kuwapa wasonjo nyama ya pundamilia kama walivyoagiza, kama ruzuku ya shughuli ya sensa. Unafiki umekita mzizi Kutaja wakati wote KIBERA huku maskini wasonjo wanaishi katika vyumba duni. Hii inaonyesha AM kuna matatizo ya ukabila kote.
   
 2. Kabaridi

  Kabaridi JF-Expert Member

  #2
  Aug 25, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 2,028
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Wadau, JF, ni jambo la aibu serikali ya TZ kuwapa wenyeji nyama ya pundamilia(zebra) kama walivyoagiza, kama ruzuku ya shughuli ya sensa. Unafiki umekita mzizi Kutaja wakati wote KIBERA huku maskini waliosahaulika wanaishi katika vyumba duni mbugani. Hii inaonyesha AM kuna matatizo ya ukabila kote.
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,322
  Likes Received: 22,148
  Trophy Points: 280
  Sisi CCM Tunakumbatia rushwa kwa udi na uvumba. Sema lolote, kama lina maslah kwetu tutakupa
   
 4. F

  FJM JF-Expert Member

  #4
  Aug 25, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kibaridi, pengine umeelewa tofauti. Kuna kabila moja liko karibu na maeneo ya mbugani na wanavyodai wao (watu wa hilo kabila) ni kwamba kwa mila zao hairuhusiwi kuhesabu binadamu bila ya kufanya taratibu za kimila. And that include kuchinja/kula nyama ya specif animal. Hivyo, serikali haijatoa nyama kama ruzuku (subsidy) ila wamewaridhisha watu wa hili kabila ili waweze kuhesabiwa.
   
 5. R

  Reginald12 JF-Expert Member

  #5
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 262
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Bila utani hiyo ni true people's power. You have to bargain with the govt before you support them.
   
 6. Kabaridi

  Kabaridi JF-Expert Member

  #6
  Aug 26, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 2,028
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Reginald peoples power kwa watu hawajazinduka kutoka mila za vichakani. iweje watu wanaoishi kama wanyama mbugani hawana mawasiliano ya aina yeyote wawe na pples power. CCM kwa udi wanatafuta peoples numbers ingawa Kazi ipo kuelimisha hawa yahke.


  FJM, Pengine kwa sababu hawa hawaelewi lugha ya pesa, wakati serikali inataka kupiga dili nao hiyo ndio itabaki ruzuku siku zote.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. t

  tusichoke JF-Expert Member

  #7
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 1,286
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  sasa hiyo nini,kwani kuhesabiwa ni hiyari,na wale wanaotaka madai yao yawepo kwenye madodoso ili wahesabiwe mbona hawasikilizwi? Huu ni udhaifu wa serikali kwamba na yenyewa inaamini mambo ya kienyeji
   
 8. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #8
  Aug 26, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Ni afadhali wananchi hao wachinjiwe tu hao wanyama, badala ya kuwatorosha kwa ndege kwenda uarabuni!
   
 9. F

  FJM JF-Expert Member

  #9
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  It takes time kubadilisha certain mila za watu, mfano circumcision kwa watoto wa kike. Pamoja na medical argument lakini kwa baadhi ya makabila people are still doing it.
   
 10. u

  ureni JF-Expert Member

  #10
  Aug 26, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,272
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Ha ha haaa kweli aisee
   
 11. Uda

  Uda JF-Expert Member

  #11
  Aug 26, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 730
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  duh!hii ni mbinu mpya ya kuwafikia wapiga kura !chadema andaeni punda mapemaaa!
   
 12. Uda

  Uda JF-Expert Member

  #12
  Aug 26, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 730
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  mtoa thread naomba ufuatilie chanzo chako cha habari,nahisi sio wasonjo bali ni wahadzabe!
   
 13. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #13
  Aug 26, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kama wameagiza punda milia wakapewa, unalaumu nini? ulitaka wapelekewe nguruwe?
   
 14. M

  Mr.Kombo Member

  #14
  Aug 26, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kipengele je mpaka polisi au hawa sio watu!
   
 15. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #15
  Aug 27, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  Nao ni wajanja ati.
   
 16. Kabaridi

  Kabaridi JF-Expert Member

  #16
  Aug 27, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 2,028
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Nilidhani, ikiwa serikali itawapevusha kwa sababu hawa bado ni watu wa msituni.. Serikali ingewatunuku Nyama halisi ya Ngombe au Mbuzi. lakini pundamilia anawawa ili kumlisha binaadamu. Au ndo munaweka wenyeji katika Food-chain ambako Simba anapaswa awe..Simba wote wako mara yaonekana.
   
 17. Kabaridi

  Kabaridi JF-Expert Member

  #17
  Aug 27, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 2,028
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  hawa kabisa wangeandaliwa karamu ya nyama halisi/mbuzi ngombe, wavishwe hata nguo mpya....... kama ni strategy ya kucampaign. lakini kuiba tu usajili hizi ni njia za mkato.
   
 18. Kabaridi

  Kabaridi JF-Expert Member

  #18
  Aug 27, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 2,028
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  nashukuru Uda kwa urekebishaji
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #19
  Aug 27, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Wewe watu maisha yao delicacy yao ni Punda Milia, wewe unataka uwape ng'ombe au mbuzi. Punda milia mbona nyama yake inauzwa hata bucha ya mali asili.
   
Loading...