Je stendi kuu ya Mkoa gani ina watu wachafu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je stendi kuu ya Mkoa gani ina watu wachafu?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kimbori, Aug 27, 2012.

 1. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,725
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  Katika kupita pita nchi hii, nimepita stendi ya Mkoa wa Mororogoro, ambayo kwa maoni yangu, ndio stendi yenye wafanyakazi pamoja na wachuuzi wachafu kupindukia. Uchafu wa wakazi unadhihirisha umasikini walionao.
  Je stendi ya mkoa gani ina wafanyakazi au wachuuzi wachafu hapa Tanzania?.
  Naoma kuwakilisha.
   
Loading...