Karani wa sensa bila ya kitambulisho: Nani alaumiwe? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Karani wa sensa bila ya kitambulisho: Nani alaumiwe?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MAKOLE, Aug 27, 2012.

 1. MAKOLE

  MAKOLE JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 601
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Nimeshuhudia mwenyewe karani akitolewa nje kwa kukosa kitambulisho na Uniform, hivyo akaambiwa awalete viongozi wa mtaa ili aruhusiwe kuendelea na zoezi. Kwa hali hii sijui nani alaumiwe, Mwananchi, serikali au Mhesabuji?
   
 2. n

  ngonani JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 27, 2012
  Messages: 1,371
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Mimi nakuunga mkono kama ifuatavyo:Nilifuatilia complication za maandalizi ya sensa,mafunzo n.k,then likaja zoezi lenyewe,kwanza namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kuhesabiwa kwani najua takwimu zitakapotoka nami ni mmoja wa waliohesabiwa,hata nikifa kesho nimewekwa kwenye hostoria kuwa nillishi hadi sensa.Lakini nina maoni kuwa pamoja na unyeti wake balozi yeyote wa nyumba kumi au msaidizi wake anayejua kusoma na kuandika angeweza kukusanya taarifa zote wanazohitaji tena kwa ufanisi zaidi na pengine kwa gharama nafuu zaidi mi nadhani hapakuwa na haja ya complication zote hizi walizofanya,mbona mabalozi wanajua watu wao wote,wanajua wenye umeme na wasio na umeme,wenye TV na wasio na TV? ni maoni tu naweza nisiwe sahii.
   
Loading...