Nimepokea ujumbe huu leo

Ngongoseke

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
3,203
1,462
Wana jamvi hebu nisaidieni hapa nimepokea ujumbe huu muda si mrefu nimeshindwa kujua kama ni matapeli au vp'kwa sababu sijashiriki bahati nasibu yeyote

MOI
YOUR MOBILE NUMBER HAS BEEN WON 1,000,000 POUNDS FROM BLACKBERRY UK,KINDLY CONTACT DR GEORGE IMMEDIATELY ON bbuklive@w.cn TO REDEEM

Mwezi july nlipokea msg kama hiyo hii hapa chini ila sijaijibu chochote

YOU GSM NUMBER HAS WON 1,000,000 GBP IN ESPN STAR CRICKET 2012,FOR CLAIM,SEND YOUR NAME,ADDRESS,MOBILE NUMBER,AGE,TO US VIA EMAIL: espnoffice@espncrickets.com

Hebu wataalam wa mambo hayo nijuzeni
NB: sipo Tz naishi Middle east
 
inaelekea una bahati ya kutapeliwa. Sasa ukitaka uwe salama jinyamazie kimya la ukitaka kubahatisha kutapeliwa basi wee fuata maelekezo yao.
 
Kuna ujumbe kama huo nlipokea mwaka jana toka kwa jamaa wanajifanya maajenti wa BMW kwa sababu mimi ni mpenzi sana wa BMW nlitaka kuingia mkenge walinipa namba nikawapigia namba ni ya UK mwisho nikastuka
 
Matapeli wa kizamani sana! Mimi nilipata ujumbe kama huo kabla ya kombe la dunia South Afrika.
 
Dah ukiwa na tamaa mara moja wanakuliza hawa jamaa' lakini je hawa jamaa wanashirikiana na makampuni ya simu? Kwa sababu msg wameonitumia leo haina namba ila imeandikwa MOI sijaelewa ni kampuni au nini?
 
Ngongoseke! Usijaribu chochote hapo! Huu ni utapeli mkali sana. Kuna watu wanaamini wapo watu waliolala wa kuibia hela.
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ya leo hata kidhungu hakijakaa vizuri yaani, YOUR MOBILE NUMBER HAS BEEN WON. Kwa tafsiri, hii inamaana kuna mtu ameshinda namba yako ya simu. Inamaana namba yako ya simu ya mkononi ilishindanishwa bila wewe kujua na sasa mshindi, anayepaswa kukabidhiwa namba yako ya simu ya mkononi, amepatikana. Kazi yaki sasa ni kumpatia namba yako mshindi wa namba yako. In other wordss, namba hiyo siyo yako tena na umpe aliyeishinda. Pole kwa attempt la kutapeliwa
 
Halafu hapa nahisi msg zote ni za mtu mmoja maana ukitazama zinafanana
 
Ngongoseke! Usijaribu chochote hapo! Huu ni utapeli mkali sana. Kuna watu wanaamini wapo watu waliolala wa kuibia hela.

Halafu mzee kwa mwaka huu tu nimepokea msg kama 7 kwenye namba yangu kam hizi ila sizifatilii kabisa
 
Last edited by a moderator:
Aisee Ngongoseke usisikilize maneno ya bajamaa, wanakuonea wivu kwa sababu umeshinda bahati nasibu na wao hawajashinda. Wewe wakontakti tu hao waliokutumia ujumbe ili uchukue mkwanja wako kiulaini. Ukichelewa hiyo bahati ya kutapeliwa itakupita. Shauri yakooo!!!!
 
Jaribu bahati yako...kila mtu ana zali lake bhanaaa! ...hata JK hakujua km atakua Rais mpaka alipopigiwa kura
 
Aisee Ngongoseke usisikilize maneno ya bajamaa, wanakuonea wivu kwa sababu umeshinda bahati nasibu na wao hawajashinda. Wewe wakontakti tu hao waliokutumia ujumbe ili uchukue mkwanja wako kiulaini. Ukichelewa hiyo bahati ya kutapeliwa itakupita. Shauri yakooo!!!!

Alaa kumbe au nitest?
 
Achana na wapigaji wa mjini hao...wanataka kula zako bila kutolea jasho.
 
hivi jiulize, una simu ya blackberry? Kama huna iweje uambiwe umeshinda wakati simu ya blacberry huna.
je ulishirika hiyo bahati nasibu wanayodai umeshinda? Kama hukushiriki sa ushindi umeutoa wapi.
Hao scammers mimi uwa napokea emails kibao kila week mara nimeshinda bahati nasibu ya gmail, mara yahoo mara sijui comesa mara sijui bank gani wizi mtupu..
Wizi kama wataka tapeliwa haya go for it
 
Yah ukweli natumia blackberry na wamenitumia kwenye simu ya bb hapo sasa ndo najiuliza vp wamejua natumia bb?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom