Msaada wa haraka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa haraka

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Chinga boy, Aug 26, 2012.

 1. C

  Chinga boy JF-Expert Member

  #1
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 415
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wadau samahani kwa usumbufu .nimetuma pesa kupitia tigo pesa kwa no ambayo siyo mlengwa nikipiga huduma wananiambia fb,twitter nini sijuwi.nifanyaje no yenyewe ni 0714933133
   
 2. Dumelang

  Dumelang JF-Expert Member

  #2
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 2,190
  Likes Received: 1,539
  Trophy Points: 280
  kimbia kwa mawakala wana namba za emergence ya hiyo kitu fasta inakuwa broked...nenda mbiooooooo
   
 3. C

  Chinga boy JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 415
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Poa kaka ngoja niwahi faster
   
 4. nachid

  nachid JF-Expert Member

  #4
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 898
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  kati ya costomer care vilaza wa mitandao tigo wanaongoza endelea kuwapigia wapo wataokuelewa thn watakurudishia salio lako
   
 5. B

  Bijou JF-Expert Member

  #5
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145

  Hapo broked ni blocked, kidhungu TZ bado ni safari ndeeefu!!!!! Du
   
 6. Mshuza2

  Mshuza2 JF-Expert Member

  #6
  Aug 26, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 4,107
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Uchokozi mwingine bwana!
   
 7. Dumelang

  Dumelang JF-Expert Member

  #7
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 2,190
  Likes Received: 1,539
  Trophy Points: 280
  i think that are only typing errors i made due to fast writting! lakini si jambo lakusema kizungu Tanzania, ninyi wenye haraka ndo huwa bila bila kichwani lakini kufatilia mambo ka! and i bet, your not fluent in english, coz i have an exprience with person such of ur type, they always understand YES & NO in English. anyway najua nawe ni mtanzania unatabia tu za baadhi yetu
   
 8. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #8
  Aug 26, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 540
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  . Kuna ubaya gani kukosolewa??
   
 9. adakiss23

  adakiss23 JF-Expert Member

  #9
  Aug 26, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 3,346
  Likes Received: 655
  Trophy Points: 280
  Nitumie laki niku-blokie fasta

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 10. Dumelang

  Dumelang JF-Expert Member

  #10
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 2,190
  Likes Received: 1,539
  Trophy Points: 280

  ujinga wetu watanzania upo hapo, kingereza ni lugha ya kujifunza tu kama ilivo kwa mzungu akija bongo na kujifunza kiswahili, mbona wazungu wanapochapia kiswahili hakuna anayesema "wazungu kiswahili bado sana" na hata hatushangai utackia tu, anajitahidi sana yule, aongee mswahili akosee, weee! ngoja niwape darasa mimi nimezaliwa tanzania lugha mathalani nilizokua, nikiwa naongea ni kiswahili na kikwetu, kingereza nimejifunza. sasa kama tunakosea kiswahili tulichozaliwa tukakua tunaongea, itakua kingereza? kama kikwetu tu pia bado kinapiga chenga, iwe leo lugha iliyokuja na ndege/meli? kwangu ni kama vile naongea kikorea tu na nikawa nakosea pia, what is english then?
   
 11. B

  Bijou JF-Expert Member

  #11
  Aug 28, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Im very very fluent in English, do not prefer to,use kiswanglish, if I use Kiswahili, will use a perfect Kiswahili and vice versa, we do make mistakes I agree, but not a typo of broked to blocked, lol!!!!
   
Loading...