Kuna tamasha la Serengeti Fiesta linarabitiwa na clouds media wanazunguka karibia miji mikubwa yote Tanzania bara swali langu je viingilio vya getini vinalipiwa kodi yaani maafisa TRA wa mikoa...
Aliekuwa mgombea wa udiwani kwenye uchaguzi wa mwaka 2010 Bwana Celisi Mosha kwa tiketi ya cmm tarafa ya Vunjo (kilema kati) amejeruhiwa na watu wasiojulikana kwa kumkata sehemu kubwa ya mwili...
Yaani wee acha, yule dada ambaye ukimchanja kiwembe basi damu yake ni Chadema tupu.
LB ameweka headline nyingine USA na nguo za uzinduzi wa tawi la Chadema Houston TX. Nguo zimejaa rangi...
Haya haya kumekucha uwanja wa nyumbani, asiyebeba mwana aeleke jiwe siku ya tarehe 9/9/2012 katika viwanja vya Jangwani.
Prof. LIPUMBA ataongoza mamilioni ya watanzania akielezea sera ya...
Kwa wale activists wa human rights and rule of law ni wazi kwamba mhariri wa mwananchi la leo amepeleka meseji iliyosheheni utetezi na ukweli kuhusu hasa kilichofanywa na polisi pamoja na...
kuna msemo unasema:"mfa maji haishi kutapatapa!!"ukimaanisha kuwa mtu mwenye shida hukamata chochote ili kimsaidie hata kama ni nyoka!!,swali langu kwa viongozi wa chadema:vipi mnaweza...
Muda si mrefu kutakuwa na namba za magari kama T001 CCM, T005 CDM, T007 CCJ, T101 CUF na nyinginezo nyingi.
Je namba hizi hazitakuwa na ushawishi kisiasa kwa kuwa zimebeba m vifupisho vya vyama...
Habari ya kushekesha na kukumbusha wanasheria kuwa makini wanavyotoa huduma. Hapa mwanasheria kuacha kuweka kipengele cha kuelekea jinsi ya kutoa malipo ya fine katika kesi ya Apple dhidi ya...
"A nation can survive its fools, and even the ambitious. But it cannot survive treason from within. An enemy at the gates is less formidable, for he is known and he...
Kijana Joseph Mapunda amegundulika kuwa anaishi ki-ndoa na mama yake mzazi kwa muda wa miaka 10 sasa.
Mama yake alipohojiwa amethibitisha kwamba ni kweli na kwamba anampenda sana 'mumewe' huyo...
Nilivutiwa na tangazo la Vodacom kuwa ongeza salio la 7500 kabla ya 31st August nao watakuongezea mara mbili, nikapiga hesabu yangu nikaona nikiweka hiyo na kupata ofa angalau itanisukuma kwa siku...
Nilikua nasikiliza Radio One asubuhi hii,nikasikia eti ile terminal ya mabasi pale Mwenge inahamishiwa Makumbusho...
Eti moja ya sababu ni kwamba wafanyabiashara wanaopanga bidhaa chini na mezani...
Leo ktk taarifa ya habari ya sa 2 usiku, walichukua dk. takribani 5 kuonesha mazishi ya Baba yake Erick Shigongo, maswali nayojiulza ni kuwa, Huyu mzee alikuwa maarufu kiasi cha kupewa airtime mda...
Mtaani kwetu, kunavijana wanne wa shule za msingi(Artists), wanapinga dili la shading karatasi za sensa, moja kwa Tsh 100. Haswa kwa wale mateacher wa vivu, madogo wanakula pesa.
Makarani...
Miezi karibu 10 iliyopita TANESCO ilipendekeza kuongeza bei ya umeme kutokana na gharama za uendeshaji kuongezeka.
Walidai kuwa gharama hizo zinawafanya kushindwa kusimamia sekta hiyo kikamilifu...
*Orodha ya kwenda Ikulu jina lake lakatwa
*Ukomo wake ni Oktoba 5 mwaka huu*
Kilio cha kina Telele, Sendeka chasikika
Jina la Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, Pius Msekwa...
Kwanza naomba ku-declare kuwa mimi si mshabiki wa chama chochote cha siasa! ila ni mfuatiliaji nikipenda kujua sera na mikakati ya kila chama! Hv sasa vijana walio wengi wanadhani kuwa chadema...
usiku wa Tra 26 hawakupita kwangu.
Tar 26 Mchana hawajapita
tar 27 nikaanza mwendo wa Ofisi.
sasa nitahesabiwa Lini na wapi?
coz wanamalizia kuhesabu Jmosi.
Kwa takribani siku 2 Mji wa Bukoba hauna usafiri wa Hiace kutoka na kuingia mjini.
Wenye magari hayo ya abiria wamegomea ushuru wa Tshs 2000 wanaotozwa kila gari linapopakia abiria stand...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.