Mwigulu Nchemba karopoka tena

Mkurabitambo

JF-Expert Member
Feb 3, 2010
230
57
#18 Mwigulu Nchemba 2012-08-22 16:05
"Huo ni uonevu kwa chama chetu,lakini kwa kuwa mahakama na vyombo vyote vya dola viko chini ya serikali inayoongozwa na sisi yaani CCM kitaeleweka tu,na pili hata wakisema twende kwenye uchaguzi leo tuko tayari hatuogopi kitu sisi,kwani kelele za chura hazimnyimi tembo kunywa maji"

alikua akitoa maoni yake juu ya uamuzi wa mahakama kumfumua kafumu wa igunga
 
Huyo kachoka kifikra angalia hoja zote, na fuatilia kilichotokea rufaa ya nini, na sio vema kwa kiongozi kusema sema ovyo....rage na magufuli ndio wa kukemea....!!
 
#18 Mwigulu Nchemba 2012-08-22 16:05
"Huo ni uonevu kwa chama chetu,lakini kwa kuwa mahakama na vyombo vyote vya dola viko chini ya serikali inayoongozwa na sisi yaani CCM kitaeleweka tu,na pili hata wakisema twende kwenye uchaguzi leo tuko tayari hatuogopi kitu sisi,kwani kelele za chura hazimnyimi tembo kunywa maji"

alikua akitoa maoni yake juu ya uamuzi wa mahakama kumfumua kafumu wa igunga

Marehemu wa fikra huyu. Wathubutu!!! Mbona wanataka kukata rufaa ili tu kuchelewesha aibu ya kushindwa tena uchanguzi utakapo rudiwa?
 
Huyu anafuata nyayo za Pinda, hata katika kuchemsha hayuko original.
 
Ebu niambine kati ya mwigulu, lusinde na nape yupi bora? Make sjajua ccm walitoa wap huu uchafu
 
ifikie mahali watu wengine tuwapuuze, tutapoteza muda kujadili vitu visivyo na maana.
 
Ebu niambine kati ya mwigulu, lusinde na nape yupi bora? Make sjajua ccm walitoa wap huu uchafu
Hawa jamaa wote hamnazo kweli, yaani wapo wapo, bora wasira anapangaga hoja uchwara lakini anaeleweka kuliko hawa hayawani wanotoa upepo wa masaburi
 
#18 Mwigulu Nchemba 2012-08-22 16:05
"Huo ni uonevu kwa chama chetu,lakini kwa kuwa mahakama na vyombo vyote vya dola viko chini ya serikali inayoongozwa na sisi yaani CCM kitaeleweka tu,na pili hata wakisema twende kwenye uchaguzi leo tuko tayari hatuogopi kitu sisi,kwani kelele za chura hazimnyimi tembo kunywa maji"

alikua akitoa maoni yake juu ya uamuzi wa mahakama kumfumua kafumu wa igunga

Alikuwa akihojiwa na chombo gani ndiyo akayasema hayo?????
 
Sio lazima kuchangia hoja kwa kila jambo!kukaa kimya ni busara sana kwa waropokaji kama Nape na Mwigulu
 
huyu naye ni mgonjwa tu kumbe maan ahaiwezekani ukatoa comment ya kitoto hivyo et serikali ni ya ccm
 
kunya anye kuku ,akinya bata kaharisha,lol.alishndwa lema arusha ilikuwa halali,kashndwa kafumu eti wameonewa ,to hell akafe mbele
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom