BBC kuanza 'kupanga' star tv kuanzia leo!

qq.com

JF-Expert Member
Jan 9, 2012
367
123
BBC wametanagza kuanza kuyrusha matangazo yao ya tv ya dira ya dunia hasa ya kiswahili lakini kituko ni kuwa hawa jamaa hawana frequency zozote bali wanatumia star tv,wakati star tv kupatikana kwenye hewa hasa walio na dish ni issue.hivi bbc wanashindwa kulipia freqency zao mpaka wapange
 
Si ni concept hiyohiyo wanatumia kwenye matangazo yao ya radio?
 
Si ni concept hiyohiyo wanatumia kwenye matangazo yao ya radio?

kwenye radio inaweza isiwe issue lakini kwenye tv wanarekodi kwenye tape au vyovyote hii si sawa na redio.redio huwa wanakuwa live
 
Back
Top Bottom