Nakutakia safari njema rais wangu kikwete

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Umenipita speed kali mida hii ukieleka uwanja wa ndege ukiwa na msafara wa magari mengi. Roho imeniuma sana kwa jinsi unavyo teketeza kodi zetu sisi walala hoi.

Safari zako siziunga mkono labda kama unaenda malawi kutatua mzozo wa mpaka.

Lakini sina budi kukubaliana na wewe kwa kua ndio uliyetangazwa na tume ya uchaguzi. Na watanzania walio kuchagua wameshafuzu mafunzo kwa vitendo, naamin safari inayokuja watakua makini.

Mungu akujalie uende na kurudi salama. mia
 
ngoja nikapate updates kwenye ile thread ya brother JB nijue anaenda wapi?
 
Umenipita speed kali mida hii ukieleka uwanja wa ndege ukiwa na msafara wa magari mengi. Roho imeniuma sana kwa jinsi unavyo teketeza kodi zetu sisi walala hoi.
Safari zako siziunga mkono labda kama unaenda malawi kutatua mzozo wa mpaka.
Lakini sina budi kukubaliana na wewe kwa kua ndio uliyetangazwa na tume ya uchaguzi. Na watanzania walio kuchagua wameshafuzu mafunzo kwa vitendo, naamin safari inayokuja watakua makini.
Mungu akujalie uende na kurudi salama. mia
huyu jamaa.. jk ananipa simanzi kila uchao. bahati mbaya wabaya wanaishi sana
 
Serengeti huku, nimekutana na msafara wa magari ya RC, na lile la usalama wa taifa yakiwa speed kuelekea mbugani. Nahisi wanampokea kwenye ile hotel yake ya kitalii "BILILA" huwa anapenda kula bata hapo. Hebu ngoja niulizie.
 
Umenipita speed kali mida hii ukieleka uwanja wa ndege ukiwa na msafara wa magari mengi. Roho imeniuma sana kwa jinsi unavyo teketeza kodi zetu sisi walala hoi.
Safari zako siziunga mkono labda kama unaenda malawi kutatua mzozo wa mpaka.
Lakini sina budi kukubaliana na wewe kwa kua ndio uliyetangazwa na tume ya uchaguzi. Na watanzania walio kuchagua wameshafuzu mafunzo kwa vitendo, naamin safari inayokuja watakua makini.
Mungu akujalie uende na kurudi salama. mia

Kwa sasa Baba Ridhiwani kaamua kua tapeli wa waziwazi
 
Mh. Dr. Dr. Dr JK angepata nafasi ya kusoma ujumbe huu bila shaka angeahirisha hiyo safari.
 
Liwalo na liwe. Mbona majirani zake hawasafiri safiri namna hii. It should be taken seriously kwamba watanzania wamechoshwa na safari za kiongozi wao. Nchi hii ni yetu wote hivyo wananchi wanapaswa kusiklizwa pia.
 
napata taabu kuelewa naomba tujiulize.
"mh. Benjamini Mkapa alisukumwa na nini kununua lile dege la Rais

Je alijua kama rais ajae atakuwa mtu wa jusafirisafiri au so aliamua kumrahisishia kusafiri au rushwa"
 
Back
Top Bottom