Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Daktari bhana!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Wajad, Aug 27, 2012.

 1. W

  Wajad JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 657
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Ndo mana wakubwa na wenye fedha zao hutibiwa mbali! Ni aibu na fedheha! Hebu sikia hii: Wewe ni mwanaume. Jirani yako ni daktari mwanaume. Mkeo anapata tatizo la 'K' na kupelekwa kwa huyo dk. na anaifanyia upembuzi yakinifu 'K' ya mkeo. Baadae kila unapoonana na huyo jirani dk. anakuuliza, "Vipi K. ya mkeo inaendeleaje?" Grrrrrrrrhhhhh!!***:.
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 36,613
  Likes Received: 16,472
  Trophy Points: 280
  Dokta wa wapi huyo?

  vICHOCHORONI HOSPITAL?
   
 3. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #3
  Aug 27, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,456
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  mhh...hata kama ni dokta basi ni wale wa kubebana bebena kama baadhi ya vyuo vyetu hapa bongo!!!
   
 4. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #4
  Aug 27, 2012
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 5,689
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Hy ni assuumption, hakuna daktari mwenye maadili ya ovyo that much!
   
 5. vipik2

  vipik2 JF-Expert Member

  #5
  Aug 27, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,123
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Daktari wa hivyo yeye haogopi kufa?..Haiwezekani kabisa
   
 6. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #6
  Aug 27, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,559
  Likes Received: 313
  Trophy Points: 180
  Unprofessional...
   
 7. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #7
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 24,427
  Likes Received: 3,390
  Trophy Points: 280
  Unproffesional, unethical...
  kwani angesema mgonjwa anaendeleaje ingekuaje?...
   
 8. tomoko

  tomoko Senior Member

  #8
  Aug 27, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kimaadili, sidhani kama kweli dr. anaweza kumjibu mtu hivyo!! atakuwa sio dr. huyo
   
 9. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #9
  Aug 27, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 4,763
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  usishangae, kuna madaktari wa mwinyi anaosisitiza kwamba ndo wanaohitajika vijijini. Hawakawii kuuliza hivyo maana wale jamaa ni unethical kabisa!
   
Loading...