Ajira zetu na utandawazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajira zetu na utandawazi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mtata, Aug 27, 2012.

 1. M

  Mtata Member

  #1
  Aug 27, 2012
  Joined: Jan 3, 2008
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwaka mmoja uliopita tuiliuzwa (outsourced) toka mtandao unaoongoza Tanzania, na tukaambiwa ajira zetu ziko salama kwa mwaka mmoja. Mwaka na miezi sita baadae hii kampuni tuliyopo yenye makao yake makuu ufini imetutangazia leo kuwa kutokana na kujiendesha kwa hasara wanalazimika kuviua baadhi ya vitengo na kupunguza watu kazi na hizo shughuli tunazofanya zitakuwa zinafanywa na wahindi huko India.
  Sisi kama waTanzania tunajipangaje katika hili?
   
Loading...