Gazeti la Mwananchi limewaonea Hawa Wanafunzi, liwajibishwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gazeti la Mwananchi limewaonea Hawa Wanafunzi, liwajibishwe

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by isotope, Sep 20, 2012.

 1. i

  isotope JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 2,404
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Gazeti la mwananchi toleo la tar 20/9/2012 ukurasa wake wa mbele limetoa picha ya wanafunzi wa shule ya msingi Mwere manispaa ya Morogoro wakiweweseka kujibu mtihani wa taifa hisabati wa kumaliza elimu ya msingi.
  Katika picha hiyo ni wawili tu ndo wanaonekana kutulia na kuandika. Wengine wanaonekana kuumuma vidole, kukenua meno na wengine wametoa macho kama wanaibia majibu kwa wenzao. Mwingine anaonekana kama kapanic hadi kaweka mkono kichwani. Naamini, kama watoto hawa wataziona picha hizo lazima watasononeka jambo ambalo linaweza kuwasababishia wasifanye vizuri mitihani yao siku ya leo (tar 20/9/2012). Pia picha hizo zinaweza kuathiri hata future nzima ya watoto hawa si kielimu tu bali hata kijamii.
  Mi naona gazeti liwajibike kufidia madhara ya sasa na ya baadae yanaweza kuwapata watoto hawa kutokana na picha hizo. Kwenu great thinkers!
   
 2. G

  GEOMO Senior Member

  #2
  Sep 20, 2012
  Joined: Jul 11, 2009
  Messages: 102
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  saidia kufafafanua nini kilitakiwa kufanyika hakikufanyika au kipi hakikutakiwa kufanyika hakikufanyika. na je picha hiyo imewekewa maelezo yapi? isijekuwa wewe ndo unawaonea kwa kufafanua mwonekano wao kupitia mtazamo wako!
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Sep 20, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  ha ha ha haaah!! Watoto hao hawataathirika chochote, kwanza hawasomi magazeti na kama kuiona hiyo picha wataiona baadae sana baada ya kumaliza mtihani.
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  na wanaweza wasilione vilevil
   
 5. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Watajisikia Raha kutoka Gazetini.NINA HAKIKA KAMA WAPO KUMI UKIWAULIZA WAMEFURAHI AU HAWAJAFURAHI NINA UHAKIKA 9 AU WOTE WATAKUJIBU WAMEFURAH
   
 6. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #6
  Sep 21, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Tupia picha mkuu
   
Loading...