Msaada

bagwell

Senior Member
Sep 19, 2012
113
25
Wanajamii ningeomba msaada:-katika balozi zote huko nje ya tanzania, Je Zanzibar ina mabalozi wangapi na Tanganyika ina mabalozi wangapi mna kila nikisikia majina ya mabalozi wetu wooote wanaotajwa kutoka tanganyika sijapata kusikia from znz...msaada tafadhalini
 
Ukipata jibu la kwa nini Kadi za mwaliko wa Harusi zinaandikwa MR & MRS .......na sio Mrs & Mr ndio utaelewa kwa nini Zanzibar haina Mabalozi wengi. Kufupisha Marefu ni kwamba Zanzibar ni MKE wa Tanganyika,wakabarikiwa kupata mtoto anaitwa Tanzania. Kwa hiyo Zanzibar siku zote atakuwa Mama Mwenye nyumba...umeelewa!?
Haya kunywa kahawa uendele kucheza bao hapo,chakula kikiiva utaitwa.
 
Borat...baana..ctaki kucheka, nadhan hata alieuliza ameridhika na amecheka saaana!
 
Tehe tehe..pole. Kuna watu wanauliza maswali ya kutafutia watu ban humu,kwa hiyo inabidi kuwapa majibu Kama hayo ili watulie tu.
 
Back
Top Bottom