Wakati wakijazana kwetu, India hawataki machinga kwao! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakati wakijazana kwetu, India hawataki machinga kwao!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mpayukaji, Sep 21, 2012.

 1. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #1
  Sep 21, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  [h=3][/h]

  [​IMG]
  Maandamano makubwa yametawala nchini India baada ya serikali kuruhusu makampuni ya kigeni kama vile Walmalt kufanya biashara nchini mle. Wananchi wamechukizwa na hatua hii kiasi cha kuingia mitaani kuandamana. Wananchi wanadai kuwa kuruhusu makampuni ya kigeni kufanya biashara inayofanywa na wazawa ni kuwahujumu na wanapinga kwa nguvu zao zote. Inashangaza kuona nchi nyingi za kiafrika zikiwa na wafanyabiashara wengi tena wakifanya biashara ndogo ndogo wakati wao hawapendi kitu kama hiki kufanyika nchini mwao. Je huu ni uroho unafiki, upogo au uzalendo? Je hatua hii ya wananchi wa India inatoa funzo gani kwa nchi za Kiafrika hasa hasa Tanzania? Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.
   
 2. J

  Joachim Morgan Member

  #2
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hapa Rais wetu anasema hawa ni wenzetu wanatupa misaada ya maendeleo kumbe ndo wanatumaliza.
  Mimi nilipomaliza chuo niliambiwa sina uzoefu nikatafuta kimtaji nikaanza umachinga leo ninapambana na machinga kutka China. Je, tutafika ili hali wakubwa wanatuambia tujiajiri au ndio tunafanywa mafukara wa kutupwa kwa style hiyo.
   
Loading...