Matapeli wanajuwa kubahatisha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matapeli wanajuwa kubahatisha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by zomba, Sep 20, 2012.

 1. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Matapeli wanajuwa kubahatisha, hii nimeikuta kwenye in box yangu:

  Picha aliyoipenda ya kwenye profile yangu ni hii: [​IMG] kwi kwi kwi teh teh teh!
   
 2. HGYTXK

  HGYTXK Senior Member

  #2
  Sep 20, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Du,hiyo kali.Wako wengi sana hao jamaa.Mie nimekutananao mara nyingi sana kunako box langu na wengi wanajifanya ni wa ivory coast na wazazi wao walikufa kwenye mapigano ya wenyewe kwa wenyewe na kwa sasa wanaishi kwenye makambi ya wakimbizi.Ila kubwa lilonishangaza zaidi ni jamaa fulani ambao waliniandikia barua kabisa kutoka South Africa wakitaka kutengeneza deal na mimi na ni mara mbili nimezipata barua toka kwao huku zikiwa na mihuli ya posta toka south,dsm,Mtwara mpaka wilayani kwangu masasi huko.hawa jamaa ni noma kabisa na usiombe kuingia kwenye 18 zao.
   
 3. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,933
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  nonsense
   
 4. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Yeah_mazomba woote ndio wanalizwa kwa namna hiyo.
   
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Jaribu bahati yako.
   
 6. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #6
  Sep 20, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  ahahahaahahahaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 7. KIJOME

  KIJOME JF-Expert Member

  #7
  Sep 20, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 3,079
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Source?????Amekuona zoba la magamba ndio maana...
   
 8. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #8
  Sep 20, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  kwi kwi kwi kwi huyo tapeli kweli kaotea lol!
   
 9. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #9
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Nyie wote mnaotapeliwa mna sifa ya aina moja "Mnataka mafanikio ya harakaharaka yaani tamaa zimewazidi"acha mbamizwe washamba sana nyie.
   
 10. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #10
  Sep 20, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,303
  Likes Received: 22,105
  Trophy Points: 280
  mweee, ngatele une
   
Loading...