Ufisadi wa kutisha Mradi wa umeme Bunju | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ufisadi wa kutisha Mradi wa umeme Bunju

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bwana Mdogo, Sep 20, 2012.

 1. B

  Bwana Mdogo Member

  #1
  Sep 20, 2012
  Joined: Jul 11, 2007
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tanesco kanda ya kinondon inatekeleza mladi wa umeme Bunju katika viwanja vipya vya mladi.

  Lakini kinachoendelea huko ni sinema tupu. Magari yakija na nguzo kumi yanarudi na tano, haifahamiki zinakoelekea. Kufunga nyao mitaani mpaka utoe kitu kidogo kuanzia laki kwenda juu.

  Pamoja na kwamba wana site plan haifatwi, haijaarishi kama mtaa humo kwenye plan au haumo, kinachoangaliwa ni pochi. Kwa wenye pochi unafanyiwa fast truck mpaka umeme unawashiwa japo mladi haijakamilika kiasi cha kuwasha.

  Wengine wanaingizwa mjini unatoa ela na hakuna kinachofanyika. pro Muhongo kweli shughuri unayo kwani shirika limeoza kuanzia juu mpaka karani
   
 2. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hii issue is so complicated.

  Uzuri ni kwamba umefichua ufisadi huu. Kwanini usifanye kibarua cha ziada kwa mfano ukachukua namba za magari, idadi ya nguzo zilizochukuliwa, tarehe hata saa ili kuweza kuweka picha nzima wazi? Inasikitisha kuona watanzania wanatenzwa kama wageni nchini mwao huku wageni wakitendewa kama wenye nchi. Hii itakuja kuleta fujo maana kila sekta sasa ni ufisadi mtupu.

  Ni ufisadi kuanzia mtaani hadi Ikulu. Ikiwezekana waathirika shirikianeni mkamate hayo magari na kuwashughulikia wahusika ili vyombo vya dola na polisi wapate salaamu.
   
 3. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  Rekebisha heading badala ya mladi ni mradi
   
Loading...