NAPE avimbiwa na MAWAKILI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NAPE avimbiwa na MAWAKILI

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by VUTA-NKUVUTE, Sep 19, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Sep 19, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Wamwambia hawako tayari kumwakilisha kwenye shauri ambalo halina ushahidi wa kutosha. Ni katika kesi yake aliyofunguliwa na CHADEMA.Mawakili wamemshauri aombe samahani kwa CHADEMA.

  Ni hivi: Katibu wa Uenezi na Itikadi wa CCM,Nape Nnauye amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kugomewa na Mawakili ili wamwakilishe kwenye shauri lake. Kampuni hiyo ya Mawakili ambayo ipo karibu na Kampuni yetu pale Posta jengo la PPF Tower ilimkatalia Nape kwakuwa hana ushahidi wa kutosha wa kupangua kesi iliyofunguliwa dhidi yake na CHADEMA kwa kusema kwake kuwa CHADEMA inahongwa kutoka nje na itauza nchi.

  Safari ya kuelekea kwa Mawakili hawa ilitokea baada ya Nape kujibiwa na Mawakili wa CCM kuwa wako 'busy' na mashauri ya chama pamoja na hoja kuwa kesi dhidi yake ni ya binafsi zaidi na si ya ki-chama.'Aende akawaombe radhi CHADEMA.Hana ushahidi wa kutosha.Itakuwa ngumu kulindika Mahakamani. Tumemwambia wazi' walisema Mawakili hao.
   
 2. PgSoft2008

  PgSoft2008 JF-Expert Member

  #2
  Sep 19, 2012
  Joined: May 15, 2008
  Messages: 256
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Source is always important!! rather put it as Tetesi
   
 3. M

  Msengapavi JF-Expert Member

  #3
  Sep 19, 2012
  Joined: Oct 23, 2008
  Messages: 4,802
  Likes Received: 2,748
  Trophy Points: 280
  Duh! kama hii ambayo sorce yake in kweli, Nepi (vuvuzela la CCM) anaumbuka vibaya. Labda hii itamsaidia kujua umuhimu wa kushirikisha kicha chake kabla ya kusema hovyo!
   
 4. K

  Kibagata JF-Expert Member

  #4
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 773
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  source ya nn huo ndo ukweli. ameumia huyo msema ovyo wa ccm magamba.
   
 5. e

  emalau JF-Expert Member

  #5
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 1,177
  Likes Received: 272
  Trophy Points: 180
  tunasubiri tuone
   
 6. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #6
  Sep 19, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,188
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  SAFI hili ni koja kati ya mengi tusiyojua
   
 7. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #7
  Sep 19, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Source ni mimi mwenyewe.Huniamini,acha.
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Wewe ni wakili...??
  Kama atatoa mpunga wa maana sidhani kama kuna wakili atakayemtosa.
   
 9. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #9
  Sep 19, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Duuuuh naona mwanzo wa filamu nyingine tena!!!!!
   
 10. M

  Malipo kwamungu JF-Expert Member

  #10
  Sep 19, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 574
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Ndipo mtakumbuka niliuliza mbona huyu kijana amekuwa msemaji kila jambo " Hakuna katibu mkuu...? mbona yeye tu nyimbo zote
   
 11. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #11
  Sep 19, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Ndio Mkuu.Tena wa tangu 1992
   
 12. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #12
  Sep 19, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,789
  Likes Received: 3,877
  Trophy Points: 280
  hakuna wakili anakataa kazi hata akiona kuna uwezekano wa mteja kushindwa!hili limekaa kisiasa zaidi!!
   
 13. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #13
  Sep 19, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  hakuna wakili anayekataa kesi hata kama anajua utashindwa...ulishaona mtu anakataa kazi? kalagabaho wewe...!
   
 14. E

  EMMANUEL NSAMBI JF-Expert Member

  #14
  Sep 19, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 402
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hapo ndipo EL,RA na vijisenti watakapommalizia huyu dogo.
   
 15. peri

  peri JF-Expert Member

  #15
  Sep 19, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  mkuu siamini kama kuna wakili yoyote atakae kataa kesi kama ukimlipa vzr.
  Naanza kupata wacwac na huu uzi.
   
 16. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #16
  Sep 19, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Umetisha mkuu mawakili wanakataa kazi
   
 17. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #17
  Sep 19, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  Nape siasa baibai,
  atakuwa alipokea ushauri wa mwigulu nchemba, lusinde na wasira. "Ameliwa" timing kitu kwenye box, anasubiriwa chemba.
   
 18. Manyi

  Manyi JF-Expert Member

  #18
  Sep 19, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 3,256
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Duh, hii nayo kali, kwa njaa zote hizi za wabongo kuna mawakili wachache sana wa kukataa kesi, hata kama anajua atashindwa! Ngoja tusubiri tuone!
   
 19. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #19
  Sep 19, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  Pia hakuna wakili anataka kuharibu rekodi ya uwakili wake, Nape ameshajikaanga kwa mafuta yake.
   
 20. Las Mas Bobos

  Las Mas Bobos JF-Expert Member

  #20
  Sep 19, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 993
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sioni chembe-ukweli za kutosha katika hii hadithi.

  Wishful thinking. By the way, hata mimi natamani ingekuwa hivi
   
Loading...