Watu wawili wakamatwa wakiwa katika mchakato wa kuchuna ngozi watoto, wapigwa kiberiti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watu wawili wakamatwa wakiwa katika mchakato wa kuchuna ngozi watoto, wapigwa kiberiti

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Money Stunna, Sep 19, 2012.

 1. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #1
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 283
  Trophy Points: 160
  8.jpg 8.jpg taharifa nilizopata kutoka mjini kemondo,kagera watu wawili wakamatwa wakiwa katika harakati za kuchuna ngozi watoto,raia wawasha moto,polisi waingilia kati,washambuliwa,kwa habari nilizopata sasa hao walioshikwa wako wanachomeka kwa moto,raia wameona wawachome,nikipata habari ya kinachoendelea zaid nitawajulisha
   
 2. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #2
  Sep 19, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Duh kazi ipo, binadamu wengine wanaroho za ajabu kweli!! Anyway, yote ni kutokana na mifumo mibovu ya tawala zetu!!
   
 3. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #3
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 283
  Trophy Points: 160
  nasikia imani za kishirikina ndio zimechangia
   
 4. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #4
  Sep 19, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  duh...iyo mbaya...waadabishwe ipasavyo...
   
 5. M

  Msafwa wa swaya JF-Expert Member

  #5
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 426
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kama kweli ndo kaz yao ya kuchuna ngoz za wenzao Piga moto na majivu weka kwenye mimea wawe mbolea maana hao siyo watu tena wamekuwa mafisi
   
 6. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #6
  Sep 19, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hapo pakibuluu naomba ufafanuzi...connection error huku kwangu
   
 7. Tram Almasi

  Tram Almasi JF-Expert Member

  #7
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 755
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Atiii? haya mambo yamehamia na huko tena? hao watoto wameshauawa au wazima? wangewahoji kwanza ili wajue mtandao wao kabla ya kuwapiga moto!
   
 8. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #8
  Sep 19, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Hawa wanaochuna watoto ngozi, wamevuka mpaka.... Hawana huruma na Pinda? Pamoja na mzee wa watu kutoa machozi bado watu wanarudia?
   
 9. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #9
  Sep 19, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,466
  Likes Received: 502
  Trophy Points: 280
  Kila kitu tawala mbovu ? ushirikina nao una tawala mbovu?
   
 10. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #10
  Sep 19, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 556
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Wachomeni tu mie binafsi sina imani na Jesh la walipuaji raia
   
 11. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #11
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 283
  Trophy Points: 160
  mimi naona watu wasikimbilie kuwachoma moto,wangewauliza nani kawatuma,je kama wao wenyewe imekuaje mpaka wanafanya hivo,ni mganga gani kawaambia ili ushikwe mtandao mzima,lakin kukimbilia kuwachoma,inakuwa ngumu kwa upelelez kukamata mtandao mzima
   
 12. Las Mas Bobos

  Las Mas Bobos JF-Expert Member

  #12
  Sep 19, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 993
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Majivu yao yatwangwe kwenye kinu, manake kuwachoma peke yake hakutoshi
   
 13. Las Mas Bobos

  Las Mas Bobos JF-Expert Member

  #13
  Sep 19, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 993
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mara nyingi anayehimiza wauawe anakuwa anahusika nao anajua wakibaki hai watamsema na yeye
   
 14. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #14
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,045
  Likes Received: 6,487
  Trophy Points: 280
  siyo Bishanga kweli,
  inawezekana alienda kutafuza zindiko baada ya kuona pesa haikamatiki.
   
 15. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #15
  Sep 19, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,506
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  binadamu wengine ni majini
   
 16. LE GAGNANT

  LE GAGNANT JF-Expert Member

  #16
  Sep 19, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  1JOHN 5.19

  "We know that we are children of God,
  and that the whole world is under the control of
  the evil one".
   
 17. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #17
  Sep 19, 2012
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Angekuwa mwanao ungeandika kejeli.

  Akili za masaburi.
   
 18. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #18
  Sep 19, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Hawa jamaa ni washenzi sawa sawa kuwachoma moto.
   
 19. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #19
  Sep 19, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 4,222
  Likes Received: 1,065
  Trophy Points: 280

  Kivipi mkuu hapo kwenye bold? U.S.A juzi juzi kuna mtu alikula ubongo wa rafiki yake baada ya kumpasua kichwa na kwao mfumo mbovu? Au unaongelea hatua ya raia kuwachoma moto hao watu?
   
 20. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #20
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  hapa mifumo mibovu inahusikaje?
   
Loading...