Huu unazi wa timu zasoka barani ulaya vimeendelea kuchukua maisha ya watu mbali mbali. Kijana mmoja huko Mererani leo amepoteza maisha mara baada ya mchezaji wa Manchester United Robin Van Persie...
Jamani juzi nilienda kulipia road licence ya gari yangu nikaambiwa nilipe na shs 30,000 ya stika ya fire. Je hii ni halali TRA kuchukua pesa zetu bila hata taarifa??? Kibaya zaidi hawakupi hiyo...
Written on April 25, 2012 at 9:00 am by Electroshock
13 Bizarre Facts You Should Know But Do Not
We all love interesting and bizarre facts so here we take a look at 13...
Wana jf. Nimekuwa natafakari ufanisi wa jeshi la police Tanzania uko chini kihivyo kimaamuzi, matendo, matamko na kugundua most of police officers are F4 and F6 falliers. Tujadili hili kutokana...
Wakuu mimi sitapiga kura kwa ajili ya Kutafuta Kivutio cha Tanzania Kitakacho Ingia Kwenye Maaajabu saba ya Bara La Africa kwa sababu zifuatazo,
1. Hifadhi za Taifa na Vivutio vingine havijawahi...
Kwanza wakuu habari zenu.....
Napenda kukupa habari hii ya nafasi za masomo katika shule moja ya jijini Upanga ambayo inaitwa Al-Muntazir Islamic Seminary(ALMIS), Shule hii inaongozwa na mashia...
Msaada Jamani.MIMI na Vijana wenzangu 24 wakiume na wakike tumeunda kikundi cha kusaidiana kijamii, kiuchumi n.k.lengo kubwa ni kupeana nguvu katika maswala ya elimu,Harusi ,maradh na Misiba.JE NI...
Nikiwa katika pilika za kupigia kura vivutio vyetu nikakutana na paragraph hiyo chini nime-copy kwenye sevennaturalwonders.org kuhusu view ya Mount Kilimanjaro maana japokuwa ninaishi huku...
Baada ya kejeli hiyo ya mwaka 2008,
kampuni hiyo hiyo ya vinywaji baridim
mwaka huu imekuja na kejeli nyingine,
kumbuka wahenga walisema
akutukanaye hakuchagulii tusi.
Katika tangazo...
Nimetumiwa kwa njia ya email na mdau mmoja picha ya askari polisi akiburutwa na gari lao. Picha ya lini hii jamani na kama ni kweli (sio photoshopping) tunaelekea wapi iwapo polisi wameanza...
SHULE ya Msingi Bokorani, Mtoni-Mtongani, wilayani Temeke, Dar es Salaam hivi karibuni imekumbwa na matukio ya ajabu ya kupotea wanafunzi wanapotoka shule katika mazingira ya kutatanisha.
Kwa...
Raisi kikwete kawaagiza mkuu wa mkoa wa dar na menaja wa tanrods mkoa wampe majibu ndani ya wiki moja ni wapi itajengwa stendi mpya baada ya ile ya ubungo kuhamishwa.
Amekataa wazo lao la kujenga...
Mimi ni shabiki wafilum hasa za kutoka majuu lakini nimekuwa nikutana na filum zinazo zungumzia maisha ya viumbe vinavyo julikana kama vampire! miongoni mwa filum hizo nikama The blades(1,2,3 &...
Ni baba wa mtoto wa kiume aliyezaliwa ndani ya chumba cha mtihani wa darasa la saba. Ni muda wa kuelezwa nani alihusika na nani alilinda ubakaji huu. Ni muda wa kuelezwa kama serikali ya alipo...
Habari wanaJf,mi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu chuo kikuu huko Dodoma,umebaki mwaka mmoja ili niweze kumaliza masomo lakini kwa jitihada nlizofanya mpaka sasa ili niweze kulipa ada yan tuition...
na Mwandishi wetu, Geita
SERIKALI mkoani Geita imeanza mchakato wa kuhakikisha wachimbaji wakubwa wa dhahabu wanaohodhi maeneo wananyanganywa na kupatiwa wachimbaji wadogo.
Mkuu wa...
haya ndiyo majibu ya ubalozi wa marekani nchini kwa waislamu walioandamana kupinga video ya kumkashifu mtume
A statement issued by the US Embassy states that: "Our Embassy in Dar es Salaam is...
Tafadhali naomba kwa yeyote anayejua watu, sehemu mahali ambako wanatengeneza mifuko ya plastic kwa ajili ya packaging (kupack) bidhaa kama mchele, maharage, nk anajulishe. Ninahitaji mifuko yenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.