Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,004
- 10,136
Nikiwa katika pilika za kupigia kura vivutio vyetu nikakutana na paragraph hiyo chini nime-copy kwenye sevennaturalwonders.org kuhusu view ya Mount Kilimanjaro maana japokuwa ninaishi huku kijijini kwetu Itabagumba lakini nimebahatika kuona view ya Mt Kilimanjaro kwa upande wa Himo, ukiwa Soweto Moshi, KCMC, maeneo ya KIA na pia upande wa Arusha, swali langu kuhusu best view ya mlima ni kweli ipo kama hapo nilipo-bold? au mitandao hii kama kawa inatumika kunadi wenzetu pamoja na kwamba umetajwa upo Tz but still ukiwa Kenya utapata view nzuri ya mlima? see below paragraph as according to sevennaturalwonders.org;
The best view of Mount Kilimanjaro comes from approaching the mountain from the northern Kenya side. The majority of pictures seen in magazines and travel guides feature this view. However, the best way to experience Mount Kilimanjaro is through taking a trek up the mountain