STAR TV, Je hawatangazi matokeo ya ligi kuu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

STAR TV, Je hawatangazi matokeo ya ligi kuu?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Emmanuel_mtui, Sep 23, 2012.

 1. E

  Emmanuel_mtui Member

  #1
  Sep 23, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu wana jamii, nilikuwa naangalia habari hapa star tv, sijaona wakitangaza matokeo ya leo ligi kuu je kunani?
   
 2. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Ligi kuu ipi mkuu, maana kuna ligi kuu nyingi sana
   
 3. E

  Emmanuel_mtui Member

  #3
  Sep 23, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ligi kuu bongo, kwani leo nilikuwa mahali naangali habari za michezo kupitia star tv, nilichoona ni kujitete kwa refa wa mtibwa kana kwamba hakuna mechi zilizoendelea.
   
Loading...