Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Arusha - Controversy shrouds the case of a businessman who is alleged to have gunned down a motorcyclist, killing the latter on the spot, at Kwa-Ngulelo junction, along Moshi-Arusha road. The...
0 Reactions
0 Replies
866 Views
Sitaki kusema lolote juu ya Mkutano waliofanya waislam kulaani mkanda uliokuwa unmkashifu Mtume Muhamad SAW. Lakini jambo moja lipo wazi kuwa kusanyiko lile lilifanyika licha ya katazo la Bakwata...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu nimepokea ujumbe toka namba tajwa hapo ingawa nimeshindwa kuelewa unakusudia nini na nchi gani unatoka.Nanukuu What is your name?Stop sms go www.qa.ee.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Leo asubuhi Mzee Farijala ameifagilia Star TV kwa kuamini kwamba STAR TV wako upande wao (CCM) ndo maana anaalikwa mara kwa mara kwenye vipindi vyao na kuichana ITV hadharani kuwa inatumika na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Yatazame.... Mjengwa Blog::Habari,Picha,Matangazo
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Tarehe 12 ya mwezi wa nane kama mnakumbuka majira ya mchana ndugu Ulimboka alipokelewa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl Nyerere na kutuhaidi ataongea kila kitu kuhusu yaliyomkuta na...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
The Ministry of Lands, Housing and Human Settlements Development has warned over the existence of several editions of fake map of Tanzania used by various local and international entities for...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Imekuwa kama kawaida, TANESCO wanakata umeme saa 4. asubuhi na kurudi saa 1 au 2 usiku. Hii ni kero hasa ukichukulia jinsi umeme ulivyo muhimu kwa mji kama Arusha. Nilisikia majuzi 2 wizara ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau, Nadhani lile agizo la Waziri Mkuu kusitisha uchimbaji wa yale madini katika vyanzo vya mto kule Upareni katika milima ya Shengena kama lilivyowakilisha na Anne Kilango pamoja na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
HAWA WAMEANZA KUTUSIKILIZA, NA BADO TUNAMIPANGO KABAMBE YA KUIJURISHA DUNIA http://www.ippmedia.com/frontend/index.php?l=46080 United Nations News Centre - UNESCO chief denounces killing of...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Generator used la kv 5.5 mpaka 6. Linahitajika likiwa la diesel litapewa kipaumbele.
0 Reactions
0 Replies
947 Views
1. Chris Cremence 100,000 2. Anonymous 500,000 3. Maggid Mjengwa 100,000 4. Raymond Kasoyaga 20,000 5.Edward Mgogo 10,000 6.Joachim Kiula 5,000 7.Libory Muhanga 5,000 8.Geofrey Kagaruki 10,000...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna jamaa yangu kila mtandao ana line zaidi ya tatu na zote zimesajiliwa kwa jina lake. Mara anakupigia kutumia line hii wakati mwingine line nyingine ukiuliza wewe ni nani mara utasikia kwani...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jana nikiwa naangalia taarifa ya habari, hospitalini Mwananyamala niliona habari iliyoonesha watu wakiwa wamebeba jeneza huku wakirukaruka wakiimba 'Tunataka maiti wetu x2'. Watu hao walikua...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
mimi nachanganyikiwa kidogo naombeni msaada,sikubaliani na wananchi kuvamia eneo la misitu lakini kwa kuwa hiyo ni kazi ya serikali. ggm inadaiwa na wananchi fidia haijalipa na imechakachua...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ulitolewa waraka juu ya malipo ya extra shift allowance kwa wafanyakazi wa afya kama ifuatavyo; 1. Wale wenye degree moja sh 15,000/ kwa siku 2. Mabingwa (degree mbili na kuendelea) sh 25,000/-...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Niko ninaangalia taarifa ya habari ITV..... hivi ni haki kuwachomea wananchi makazi yao hata kama wamejenga katika mahali pasiporuhusiwa? serikali ilikuwa wapi wakati wananchi hao wa GEITA...
0 Reactions
1 Replies
935 Views
  • Closed
Jana waislam walifanya maandamano kupinga kitendo cha raia mmoja wa Marekani kutengeneza filamu inayomkashfu na kuudhalilisha uislam. Maandamano hayo yaliisha kwa kutoa tamko la kuitaka serikali...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi kutokana na picha hii...Je kwa kiongozi gani ndani ya Tanzania ataekubali kunyooshewa kidole?......
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom