Mnazi wa Liverpool afariki Mererani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnazi wa Liverpool afariki Mererani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sajenti, Sep 23, 2012.

 1. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Huu unazi wa timu zasoka barani ulaya vimeendelea kuchukua maisha ya watu mbali mbali. Kijana mmoja huko Mererani leo amepoteza maisha mara baada ya mchezaji wa Manchester United Robin Van Persie alizimia ghafla baada ya mchezaji huyo kufunga goli la 2 kwa Man Utd. Mashuhuda wanasema kuwa walishangaa kumuona kijana huyo ( jina halijatambuliwa) akidondoka kutoka kitini mara baada ya Van Persie kufunga penati hiyo, alikimbizwa kituo cha afya Mererani lakini aliripotiwa kupoteza maisha muda mfupi baadae.
  My take:Watu tuwe makini na huu utandawazi katika kushabikia vitu fulani...
   
 2. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  zaman nilikuwa man u.sasa sina timu
   
 3. Kalumbesa

  Kalumbesa JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,009
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Man U ?
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,289
  Likes Received: 22,054
  Trophy Points: 280
  Mi naipenda Tukuyu Stars ya Mbeya na Pamba ya Mwanza
   
 5. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #5
  Sep 23, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Huu ushabiki ni ugonjwa wa hatari!!!hivi Coastal Union bado ipo?
   
 6. Thanda

  Thanda JF-Expert Member

  #6
  Sep 23, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,915
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Bora mimi ni Bolton Wanderers, hivyo sina mapresha.
   
 7. T

  Toto14 Member

  #7
  Sep 23, 2012
  Joined: Sep 11, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Khaa'yaaan kifo kimemkuta kisa? Halaf RVP wala hajui na hata jua kuwa kunamtu amekufa kisa na sababu ni yeye 'huu unazi wa hivi tuachane nao aisee hayo siyo mapenzi bali ni mahaba Mweeh'May His Soul Rest in Peace
   
 8. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #8
  Sep 24, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,353
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Coastal Union bado ipo marejesho na ipo ligi kuu ya bara! Ila me ni mnazi wa Simba na Manchester United. Full mastresi ila kiushabiki tu co kujiua!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. S

  Sangomwile JF-Expert Member

  #9
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 17, 2012
  Messages: 3,090
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  RIP mnazi
   
 10. T

  Tiger One JF-Expert Member

  #10
  Sep 24, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 569
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Tatizo hiyo mechi aliicheza kamari.
   
 11. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #11
  Sep 24, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ..Duh! Mikela umenikumbusha last week niliona runingani kuna wadau Tukuyu kule wanajipanga kuifufua hiyo timu.....Mi nilikuwa shabiki sana wa Mecco siku haipo nimeamua kutulia tu maana hata hayo Masimba na Mayanga full kukereka tabu ya nini bhana!! Hata huko majuu sitaki matatizo mi naangalia mpira tu no ushabiki kwa timu yoyote!!
   
 12. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #12
  Sep 24, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,129
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  Nilishawahi kusikia jamaa mmoja alishamuweka mkewe rehani kwa ushabiki wa mpira!
   
 13. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #13
  Sep 24, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mie najipenda mwenyewe.lol!
   
 14. ligendayika

  ligendayika JF-Expert Member

  #14
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 31, 2012
  Messages: 1,175
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 145
  huu nao ukweli kamali hiyo hakuna ushabiki hapo
   
Loading...