TRA kuchukua pesa ya stika ya fire ni halali?

Nsuri

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
1,013
558
Jamani juzi nilienda kulipia road licence ya gari yangu nikaambiwa nilipe na shs 30,000 ya stika ya fire. Je hii ni halali TRA kuchukua pesa zetu bila hata taarifa??? Kibaya zaidi hawakupi hiyo stika wala mtungi wa fire, eti mpaka uende fire ndo wakakague mtungi wako wa fire then wakupe stika. Huu ni wizi wa watanzania jamani??????????????????
 
Muajiriwa unakatwa kodi since day one na huna TIN itakuwa firesticker........
 
utaratibu ndio sio ila kwa kuwa wao ni mamlaka ya mapato wanahaki hiyo..

Je ulitoa hiyo hela maana stika ya fire ni 20K ndio ya juu sasa hiyo 30K mzee mboni hatari..
 
huu ni wizi wa mchana...kukagua mtungi ndo nilipe 30,000?we need to wake up watanzania. Je ndo assurance ya gari lako likiungua watakulipa??kama hawakulipi hiyo 30,000 ni ya nini?hapo hawajaja police na wiki yao ya nenda kwa usalama..kwa kweli ni wizi uliopindukia..na mbona sion hizo stika za fire kwenye magari ya serikali, au yao hayataungua ya kwetu tu ndo yanaweza kuungua???WIZI HUU TENA WA MCHANA.
 
utaratibu ndio sio ila kwa kuwa wao ni mamlaka ya mapato wanahaki hiyo..

Je ulitoa hiyo hela maana stika ya fire ni 20K ndio ya juu sasa hiyo 30K mzee mboni hatari..
Nimetoa elfu30 na nikaambiwa nifuate stika fire niende na gari na mtungi ukakaguliwe
 
utaratibu ndio sio ila kwa kuwa wao ni mamlaka ya mapato wanahaki hiyo..

Je ulitoa hiyo hela maana stika ya fire ni 20K ndio ya juu sasa hiyo 30K mzee mboni hatari..

Duh, kumbe. Mi nilikata kwa 40k, sijui hiyo fire inategemea na CC ya gari au ndio....
 
Unajua sticker za fire zilitakiwa kulipwa huko huko FIRE ila kwa kuwa wengi fire hawajasoma wameshindwa kutete hilo.....
Ni sawa na sticker za nenda kwa usalama barabarani kwa nini zinalipiwa police na si TRA...?
Maana fire wanatakiwa kukagua mtungi kukutoza na kukupa sticker....!!
Ni kama Police wanakagua gari wanakutoza na kukupa sticker ya wiki ya nenda na usalama barabarani....!!

TRA na Serikali huuu ni wizi na haya ni mapungufu yaliyo dhahiri..............!!!
 
Sijui ni lini watanzania watajua haki yao??? Huwezi kuwekewa kodi tuu bila hata taarifa. Walitakiwa kutangazia watu kabla,eti mtu unaenda kulipia road licence ndo unakutana na huo upuuzi wa stika!!!
 
Kwa maoni yangu It is logical and legal binding. These 2 are govt institutions sheria kuhusu malipo ya fire imepitishwa bungeni kwa upande wa fire ni vigumu kukusanya ada hiyo kwa sababu ya capacity problems,kuogopa ubadhirifu, namna ya kuhakikisha kuwa tunakwenda fire ni ngumu sana. i for one was always literally buying it. Kwa vile ni lazima kila mwaka kama una chombo cha moto kwenda kurenew road license it makes sense for you to pay in a one stop mode halafu uende na risiti [actually inatakiwa uwende na gari ili wakushauri aina ya fire ext inayokufaa ukisha nunua wanakupa stika. nafahamu wengine tutasema ni usumbufu fulani lakini ni usumbufu necessary kwa maoni yangu.
 
Kama stika nitaipata fire hapo imekula kwao mtungi ninao na pesa nishalipa tra sasa ole wao siku waniletee makitu ya ajabu uko barabarani,wanazani ninamuda wa kuzunguka town kama mgambo wa cty
 
Jamani juzi nilienda kulipia road licence ya gari yangu nikaambiwa nilipe na shs 30,000 ya stika ya fire. Je hii ni halali TRA kuchukua pesa zetu bila hata taarifa??? Kibaya zaidi hawakupi hiyo stika wala mtungi wa fire, eti mpaka uende fire ndo wakakague mtungi wako wa fire then wakupe stika. Huu ni wizi wa watanzania jamani??????????????????

Wakuu, let us be realistic, are we all saying that the Government needs to be paid to do its duty? The Fire brigade is an institution that runs on our "other" taxes, to do among other things what they are not doing. So shouldnt we be surprised if from the next fincial year the Govt introduces a tax on safety belts in our cars?
The Members of parlaiment that okayed this Law, were either sleeping when it was being read to them in the house or oblivious of the fact and its implications. It is like asking us to pay to the TRA our medical bills and then take the receipt to the Doctors, before we are attended to, how many cars do perish in fire related accidents and the owners are left to handle the consequences on their own? I just think this regulation would have been practicle if the Govt had a give to it.
Those MPs who visit here should remember that, the allowances they are enjoying while in the house wont be there once they stop being MPs, so most if not all of these questionable regulations will hount/hurt them.
Talk of of the road licence for each of the Cars we own, what are the levies that the Government collects in every litter of fuel we buy?
My take in all these is the Government....................dhaifu...............`
 
Sasa hivi kila polisi anatembea na Stiker ya nenda kwa usalama barabarani mfukoni wala huna haja yakwenda kituoni kulipia hapo ndipo Mtanzania unatakiwa kujua hii nchi inakwendaje.
 
Nitasikia raha siku moja nikisikia kitilya kaondolewa TRA make mi namuona kilaza. Kodi zinatozwa zilizopo kwa kuongea asilimia wakati maeneo mengi ya kutoza kodi yako mengi. Hivi wanao ingia madarakani hawaoni kuwa TRA ina vilaza wanao fanya nchi iendelee kuwaumiza wananchi wa kawaida?

Mambo mawili yanaumiza wananchi
1. Kodi kuwa zinaongezeka kwenye kodi zilizopo.
2. Bajeti za kila mwaka zinaandaliwa bila kuangalia uwezo wa makusanyo ya nchi (deficit budget).

Hata cku moja kwa hawa wapuuzi kuendele kufanya hivo nchi haitabadilika.
 
Jamani juzi nilienda kulipia road licence ya gari yangu nikaambiwa nilipe na shs 30,000 ya stika ya fire. Je hii ni halali TRA kuchukua pesa zetu bila hata taarifa??? Kibaya zaidi hawakupi hiyo stika wala mtungi wa fire, eti mpaka uende fire ndo wakakague mtungi wako wa fire then wakupe stika. Huu ni wizi wa watanzania jamani??????????????????

Zoezi zima halina uhalali kwani kama mtu anajilinda kwa moto na mtungi, stika ya nini?
 
Back
Top Bottom