Taasisi ya police Tanzania na ufanisi

Kibagata

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
773
135
Wana jf. Nimekuwa natafakari ufanisi wa jeshi la police Tanzania uko chini kihivyo kimaamuzi, matendo, matamko na kugundua most of police officers are F4 and F6 falliers. Tujadili hili kutokana na taswira ya jeshi hili katika jamii.
 
kwa taarifa ni kwamba polisi wameanza kubadilika sana.
Wameanza kuchukua graduet ktk fani mbalimbali.
Majuzi walikuwa wanawasaili vijana wenye shahada za it/computer na telecom pale dit. Watachukua vijana kama 200 ktk hizo fani.
Kwa ujumla mwaka huu pekeyake wataajiri vijana takriban 500 wenye shahada na mwakani wanaendelea.

Ni juhudi za kulifanya jeshi liwe la kisasa zaidi.
 
may be watabadilika sasa kimatendo na matamko yao. Maake ilikuwa inatia shaka katika jamii maake tunawalaumu kumbe tatizo ni IQ yao ndogo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom