Picha ya Lini: Polisi (FFU) Kuburutwa na Gari la Pilisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha ya Lini: Polisi (FFU) Kuburutwa na Gari la Pilisi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bazazi, Sep 23, 2012.

 1. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2012
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,032
  Likes Received: 565
  Trophy Points: 280
  Nimetumiwa kwa njia ya email na mdau mmoja picha ya askari polisi akiburutwa na gari lao. Picha ya lini hii jamani na kama ni kweli (sio photoshopping) tunaelekea wapi iwapo polisi wameanza kutojaliana wao kwa wao? Sisi raia tutapona kweli?


  Nauliza tu! Ndimi Bazazi!
   

  Attached Files:

 2. s

  swrc JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 442
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwashneiiii
   
 3. u

  ukweli2 Member

  #3
  Sep 23, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  kama gari linatembea:::mimi nafikiri alikua mbali(kimawazo au kidistansiii) wakati wenzake wanapanda ikambidi akimbilie na kudandia den akateleza....au alikaa vibaya akateleza wakati gari lipo kwenye mwendo
  N:B fikra zangu tuu!!
   
 4. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Viroba hapo!
   
 5. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #5
  Sep 23, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,830
  Likes Received: 10,142
  Trophy Points: 280
  Pumbafu kabisa, wamelewa gongo za wizi na dhuluma, angekatika kabisa "Biology" yake ashindwe kunanihiii, siwaonei huruma hata hawa fisi maji hawa
   
 6. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #6
  Sep 23, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  inawezekana labda kulikuwa na vurugu au kutuliza ghasia mahali wakazidiwa nguvu so dereva ikabidi awashe gari fasta huku wenzake wakidandia
   
 7. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #7
  Sep 23, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,710
  Trophy Points: 280
  What goes around comes around!!!!
   
 8. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #8
  Sep 23, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  kavuta cha arusha huyo!
   
 9. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #9
  Sep 23, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,745
  Likes Received: 1,459
  Trophy Points: 280
  Kamuhanda na Chagonja watakanusha kuwa hakuna askari aliyeanguka hapo. Nchi ya unknown flying objects hii!!!
   
 10. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #10
  Sep 23, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,161
  Likes Received: 1,250
  Trophy Points: 280
  Huyu mbona anaonekana kama alikuwa kalewa akakosea kudandia hiyo deffender yao
   
 11. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #11
  Sep 23, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Hawashindwi kusema wanafanya mazoezi!!
   
 12. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #12
  Sep 23, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hii picha kidoooogo inanikumbusha unyama wa polisi kumburuta chini na gari umbali wa kilometa moja kijana mwenzetu hadi alipoaga dunia pale Tabora mapema mwaka huu.

  Mwenye taarifa zozote na maendeleo ya ile kesi atujuze humu kilichoendelea zaidi.


  [​IMG]
   
 13. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #13
  Sep 23, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,227
  Likes Received: 1,414
  Trophy Points: 280
  Lazima nicheke
   
 14. m

  mwitu JF-Expert Member

  #14
  Sep 23, 2012
  Joined: Jun 22, 2012
  Messages: 857
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  angekufa ningeshangilia
   
 15. R

  RICHARD NG'ONDYA Member

  #15
  Sep 23, 2012
  Joined: Sep 18, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hawana adabu hawa nao wabulutwe tu ili wawe namachungu kwa laia tunavyo teseka
   
 16. K

  Kolero JF-Expert Member

  #16
  Sep 23, 2012
  Joined: Apr 11, 2010
  Messages: 493
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ni sehemu ya mazoezi yao ya kila siku.
   
 17. I

  IBRAHIM NGOGO Member

  #17
  Sep 23, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 5
  Ukiona kwa mwenzio kunawaka ujue kwako kunateketea, achana nao hawa hawana jipya wacha nao wabulutwe tu!!!
   
 18. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #18
  Sep 23, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Zoezi a magoti hilo! Akijakukupiga kifuti azima utapike maini!
   
 19. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #19
  Sep 23, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Zoezi a magoti hilo! Akijakukupiga kifuti lazima utapike maini!
   
 20. I

  IBRAHIM NGOGO Member

  #20
  Sep 23, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 5
  :crying:Ukiona kwa mwenzio kunawaka ujue kwako kunateketea, achana nao hawa hawana jipya wacha nao wabulutwe tu!!!
   
Loading...