Mwenye mtoto wake ajitokeze

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Ni baba wa mtoto wa kiume aliyezaliwa ndani ya chumba cha mtihani wa darasa la saba. Ni muda wa kuelezwa nani alihusika na nani alilinda ubakaji huu. Ni muda wa kuelezwa kama serikali ya alipo aliyejifungua chumba cha mtihani wa hisabati ilifahamu ubakaji huu. Ni ubakaji kwakuwa binti hana miaka 18. Alibakwa. Jambo hili si la kulishabikia. Muda ni huu
 
Tumuulize mzee makamba kwani amewahi kuwa na uzoefu na jambo Hilo
 
mtoto aitwe 'lasaba'

ila jamani kabinti kama haka waweza kukuta hata waazi wake hawajui manake mimba za kwanza huwa hazinaa tumbo kubwa kwa wengine so na ukichanganya na hofu ya kugombezwa home basi binti akaamua kuwa mkaksi kwa kuvaa masweta mwanzo mwisho, na kufunga sketi kwa belt. Mimba hizi hazinaga kichefuchefu wala kuumwa, uvivu hazina kabisa mwanzo mwisho mtu anakula chochote kile hakuna kuringa manake ytima hadeki.

hofu yangu sasa kwakua hajawa kwenda klinik mtoto anahitaj uangalizi sana, istoshe pia mama mtoto nae. But Mungu mkubwa lol! imagine hata uchungu hakuuskia hadi aka push kwenye chumba cha mtihani.
 
Hii Kwangu Imenishangaza sana!! @ age of 14?? Hii ni Kali!! Mambo ya kikubwa bint anapeta Tuu!! Ni Mungu amjalie afya Njema
 
Ni baba wa mtoto wa kiume aliyezaliwa ndani ya chumba cha mtihani wa darasa la saba. Ni muda wa kuelezwa nani alihusika na nani alilinda ubakaji huu. Ni muda wa kuelezwa kama serikali ya alipo aliyejifungua chumba cha mtihani wa hisabati ilifahamu ubakaji huu. Ni ubakaji kwakuwa binti hana miaka 18. Alibakwa. Jambo hili si la kulishabikia. Muda ni huu

siunajua tena wakishazaa wanatakiwa kuendelea na masomo sijui huyu itakuwaje..
 
mtoto aitwe 'lasaba'

ila jamani kabinti kama haka waweza kukuta hata waazi wake hawajui manake mimba za kwanza huwa hazinaa tumbo kubwa kwa wengine so na ukichanganya na hofu ya kugombezwa home basi binti akaamua kuwa mkaksi kwa kuvaa masweta mwanzo mwisho, na kufunga sketi kwa belt. Mimba hizi hazinaga kichefuchefu wala kuumwa, uvivu hazina kabisa mwanzo mwisho mtu anakula chochote kile hakuna kuringa manake ytima hadeki.

hofu yangu sasa kwakua hajawa kwenda klinik mtoto anahitaj uangalizi sana, istoshe pia mama mtoto nae. But Mungu mkubwa lol! imagine hata uchungu hakuuskia hadi aka push kwenye chumba cha mtihani.

MIE KILICHONISHANGAZA NI KWAMBA MTOTO NWENYEWE ALIJUA KWAMBA ANA UCHUNGU, 14yrs OLD, REALLY! MIE UMRI HUO HATA UCHUNGU NILIKUA SIJUI NI NINI!
 
Bi Kidude(literally translation of Miss Thang)..Ulipokuwa na umri huo UCHUNGU ulikuwa unaujua sana tu. Sema labda ilikuwa ni Uchungu wa aina tofauti. Uchungu uliojua wewe wakati una umri wa miaka 14 ulikuwa ni Uchungu wa Muarobaini, Uchungu wa Klorokwini, Uchungu wa nyanya chungu na Uchungu wa bakora ulizokuwa unazawadiwa kwa utovu wa Nidhamu. Pole kwa Uchungu mama.
 
bi kidude(literally translation of miss thang)..ulipokuwa na umri huo uchungu ulikuwa unaujua sana tu. Sema labda ilikuwa ni uchungu wa aina tofauti. Uchungu uliojua wewe wakati una umri wa miaka 14 ulikuwa ni uchungu wa muarobaini, uchungu wa klorokwini, uchungu wa nyanya chungu na uchungu wa bakora ulizokuwa unazawadiwa kwa utovu wa nidhamu. Pole kwa uchungu mama.

lol! Ati bi kidude...hujatulia. Lakini umepata ujumbe.unajua nilichokua naongelea.
 
Sana tu kupita maelezo mama..nilikuwa nakukumbusha tu Uchungu uliokuwa unauvumilia enzi zako ukivaa Chachacha sandals kwenye jua la Bongo..lol.
 
Ingawa kama mzazi inaniuma, lakini sina budi kusema mtoto huwa hawezi kuzaa mtoto; kama amezaa mtoto basi huyo ni mkubwa na hakuna ubakaji hapo.
 
siunajua tena wakishazaa wanatakiwa kuendelea na masomo sijui huyu itakuwaje..

Kuendelea na Shule ni akili ya mtoto mwenyewe...kuna ndugu yangu alijifungua two weeks baada ya kumaliza mitihani ya darasa la Saba at the age of 13, lakini alifaulu akaendelea na sekondari akamaliza chuo now ni mwalimu wa sekondari Mtwara kaajiriwa mwaka huu mwanzoni
 
Bi Kidude(literally translation of Miss Thang)..Ulipokuwa na umri huo UCHUNGU ulikuwa unaujua sana tu. Sema labda ilikuwa ni Uchungu wa aina tofauti. Uchungu uliojua wewe wakati una umri wa miaka 14 ulikuwa ni Uchungu wa Muarobaini, Uchungu wa Klorokwini, Uchungu wa nyanya chungu na Uchungu wa bakora ulizokuwa unazawadiwa kwa utovu wa Nidhamu. Pole kwa Uchungu mama.

yaani ukiwa umekasirika au ukiwa na bad mood ingia jf. ths kwakuifanya siku yangu murua
 
Back
Top Bottom