Nafasi za masomo kwenye shule | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi za masomo kwenye shule

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by bagwell, Sep 22, 2012.

 1. b

  bagwell Senior Member

  #1
  Sep 22, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwanza wakuu habari zenu.....
  Napenda kukupa habari hii ya nafasi za masomo katika shule moja ya jijini Upanga ambayo inaitwa Al-Muntazir Islamic Seminary(ALMIS), Shule hii inaongozwa na mashia wenye imani kali za dhehebu yao ya kishia.
  Ukweli hii shule ni nzuri sana inasomesha uzuri na inafatilia maendeleo mazuri ya watoto wanaosomeshwa pale, na katika mazingira ya dini pale kuna watu wenye misimamo ya dini tafauti na hilo lipo katika shule nyingi sana hapa tanzania.Lakini kinachonikera mm ni pale mtu/mzazi akienda kuomba nafasi ya mtoto kwa ajili ya kusoma, sasa hapo ndipo kasheshe inaanza maana kama ikiwa sio SHia hupati nafasi labda uwe una hela ndio utapata nafasi ya kijana wako na kama hata ukiwa shia huna hela huwezi ukapatiwa nafasi ya kijana wako.

  Na katika jambo la kutoa nafasi za masomo kuna mchezo ambao mm kama mzazi ambae watoto wangu wameathirika na mitindo yao ni kua wanatangaza nafasi nyingi sana za kujiunga ila ukweli ni kwamba hata watoto 500 wakiomba wanaopata nafasi ni 20 na ukiwauliza nafasi zilikua chache...sasa mm najiuliza kma walikua wanajua kua nafasi ni chache kwanini wanatoa fomu za watu kujiunga zaidi ya ile nafasi walizokua nazo? huu sio wizi wanaofanya?....Na hata kma ikiwa kijana wako amefaulu au hajafaulu ukiwauliza nioneshe matokeo niyaone hawataki sasa kwanini NECTA wanaonesha matokeo ila hawa mijamaa hawaoneshi?...hivi kwanini inakua hivi?...

  Kama kuna kiongozi wa SERIKALI yeyote humu naomba suala hili alifatilie kwa nguvu zake zote..na hata ikibidi hizi shule za Almuntazir wapewe onyo kali....Au ndio Siasa imeshaingia
  katika mashule?
  Ahsanteni
  naomba kutoa hoja
   
 2. t

  tenende JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 6,560
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kwa hiyo umeilipua Al Muntazir!.
   
 3. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  ndugu yangu kama umesema kuwa hata siye mshia kama hana pesa hapati,basi hakuna sana uzito wa hoja yako kuwa jamaa ni wabaguzi wa madhehebu ya kiislam.

  Kuhsu kuchukua wengi, ni shaihi kwani interview ndio itawapunguza na hivyo kupata wtau waliostahili,kila shule ina viwnango vya chini vya kupata watu wanaofundishika.Na pia kusahihisah mitihani na kuanda ni hela kwa hiyo hela za application form zinafanya kazi za msingi pamoja na kutumika kwa kazi zisizo na budget kwa shule.
   
 4. b

  bagwell Senior Member

  #4
  Sep 24, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Suala lililokuwepo kwamba ukishakosa majibu mazuri wanakuambia kua hakukua na nafasi na kma walikua wanajua hakuna nafasi kwanini watoe fomu nyingi je huo sio wizi na mambo mengi tu yapo ambayo ni ya ubaguzi ambao nisingependa kusema.
   
Loading...