majibu ya ubalozi wa marekani kwa waislamu Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

majibu ya ubalozi wa marekani kwa waislamu Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jackbauer, Sep 23, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  haya ndiyo majibu ya ubalozi wa marekani nchini kwa waislamu walioandamana kupinga video ya kumkashifu mtume  pia tujikumbushe kauli ya balozi wa marekani majuma kadhaa kabla ya mkasa huu.

   
 2. m

  mwitu JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2012
  Joined: Jun 22, 2012
  Messages: 857
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  si wengine hatujii kingereza tafsiri kiswahili ili tuchangie
   
 3. kashengo

  kashengo JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 2,649
  Likes Received: 466
  Trophy Points: 180
  Tatizo ni kauli aliyotoa George Bush senior mwaka 1989 kuwa baada ya kuuangusha u komunist adui aliebakia ni UISLAM dah! Hapo waislam hawawezi kuielewa USA na ukitizama series ya invation kwenye Muslim majority nations since 1990 to date
   
 4. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  sasa umejuaje hiko kilichoandikwa hapo ni kingereza?
   
 5. B

  Bull JF-Expert Member

  #5
  Sep 23, 2012
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Atleast wameelewa kuwa kilichofanyika ni kibaya ni tafauti na hawa ndugu zetu wakiristo wengine wanaofuraia hapa kwetu. Tony Blair aiita hii film kuwa: "Laughable piece of film"

  Nilazima sasa wapinge marufuku isionyeshwe na mitandao iliyokuwepo chini ya regulation za marikani youtube, Google, nk.

  Waislam hawatokaa kimnya wanapofanyiwa ubaradhuli na mtu yoyote na kamwe hawato rubuniwa kwa sababu ya missada fisadi wanayoleta Tanzania
   
 6. kashengo

  kashengo JF-Expert Member

  #6
  Sep 23, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 2,649
  Likes Received: 466
  Trophy Points: 180
  Salman Rushidie kamponda huyo Director wa hiyo filamu kuwa mtu asie na akili na filamu kuiita "Discusting"

  Wakristo wamefurahia hasa humu JF sasa jana mtu ameweka ile ya Catholic church kulawiti vitoto 360 wakawa wakali mpaka Mods wakaifuta

  America are regretting now mpaka obama ametengeneza video ya kuisafisha Gvt yake kwa hili yenye substitles za Kiarabu na Urdu
   
 7. Fyong'oxi

  Fyong'oxi JF-Expert Member

  #7
  Sep 23, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 267
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ... They should learn that Athari za kukashifu dini yoyote ile duniani (christian or Islam) ni kubwa na mbaya mno!
  Hata kama wanadini hao si wachamungu. Huzalisha visasi visivyokuwa na mwisho!
   
 8. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #8
  Sep 23, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  ............hata mie nimeona uvivu, mara malaria, mara Zanzibar, sijui nini ! aaah kwani cinema inaonyesha Zanzibar ?
   
 9. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #9
  Sep 23, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,663
  Likes Received: 3,317
  Trophy Points: 280
  Mkuu Kiranga aliwahi sema sana kuhusu hii Gross oversimplificatio generalization,yaani likichaa tu la huko US limebuni njia yake ya kupata umaarufu+utajiri wa chap,na nyie munamsapoti kwa kuongeza hamu ya watu kuipata filamu hiyo,kama mimi ukinichorea picha ya YESU mwenye mapembe ntakuambia tu honestly kuwa huyo ni yesu wako,,YESU wangu hana mapembe,naamini utajiona mpumbavu na utaondoka na upuzi wako!!hicho munachokifanya hapa sasa ndiyo lengo kuu la mtengenezaji/mtayarishaji wa filamu hiyo,munampa umaarufu usiomstahili,mimi niliwahi kupata picha fulani ya anayedaiwa kuwa yesu eti akiwa na MKEWE Maria magdalene,niliitazama na kuitupa pembeni kwa kuwa hainihusu,kwa kuwa nafahamu wazi kuwa YESU wangu hajawahi kuoa!!!pamoja na picha hizo kusambazwa sehemu nyingi tu duniani hazikuweza kupata wanunuzi hivyo zilipotelea mbali,tumieni vichwa vyenu vyema,Kwa hisani ya jumuiya ya waislamu wenye akili duniani.
   
 10. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #10
  Sep 23, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,663
  Likes Received: 3,317
  Trophy Points: 280
  Hasa kama abiria wa dini yenyewe ni kama nyinyi msiofikiri mara mbili!!kuna haja gani ya kukimbizana na kichaa??hamuwajui waamerika??hawana rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu bali maslahi ya kudumu.
   
 11. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #11
  Sep 23, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. kashengo

  kashengo JF-Expert Member

  #12
  Sep 23, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 2,649
  Likes Received: 466
  Trophy Points: 180
  Umesahau jambo baada ya kupata umaarufu atasakwa kuuawa na ataishi maisha ya HOFU for the rest of his life kama ilivyo kwa SALMAN RUSHDIE na yule DENISH cartoonist
   
 13. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #13
  Sep 23, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  mmmnnhh, hivi waislam ni Zanbibar tu?
   
 14. peri

  peri JF-Expert Member

  #14
  Sep 23, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  umenena vyema sana mkuu.
  Tatizo us wanafikiri wanaweza wakawadanganya watu kwa vimisaada wanavyotoa.
  Sio rahisi kwa muislamu yoyote kuwaamini wamarekani, ukiangalia matendo yao kwenye nchi mbalimbali za kiislam yanathibitisha kauli yao.

  Kwahiyo hata watoe misaada ya namna gani as long as we ni muislam ni adui yao na hauko salama hata kidogo.
   
 15. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #15
  Sep 23, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  ............wewe unaefikiria mara mbili ndo maana ukaletewa mzaha wa 'picha' kisha ukaambiwa: huyu ndo mungu wako, nawe ukaitikia, ameeen !!
   
 16. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #16
  Sep 23, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hata mimi nimejiuliza.
   
 17. peri

  peri JF-Expert Member

  #17
  Sep 23, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  ndo mtu uwajue walivyo wanafik, wanataja zanzibar na mtwara ili waonekane walivyo wema lakini hakuna asiyejua kilicgo nyuma ya pazia.
  Us haitoi misaada ktk nchi yoyote bila kujihakikishia kuwa nao watafaidika maradufu ya misaada waliotoa.

  Swali jepesi la kujiuliza ni symboin, kulikuwa na umuhimu gani wa h.clinton kuja wakati vimitambo vyenyewe ni mtumba kutoka dowans na vinazalisha megawat chache tu zisizofikia hata 300?
  Na baada ya hapo hakuna aliehoji kuhusu dowans wala mkataba wa symbion na tanesco.
   
 18. kashengo

  kashengo JF-Expert Member

  #18
  Sep 23, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 2,649
  Likes Received: 466
  Trophy Points: 180
  Mi najua kinachowauma wamarekani na watawala wa ULAYA kote ni Ukweli kuwa ISLAM is the FASTEST growing religion in WESTERN countries sasa hapa wanaishia kujifaragua kutukana Uislam japo haisadii
   
 19. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #19
  Sep 23, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  .................kwa akili zako zoooote, unaziona hizi picha za Yesu kafunua moyo ndo huyo wa Nazareth, kughafilika kwenu ni kukubwa sana !
   
 20. peri

  peri JF-Expert Member

  #20
  Sep 23, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  wanapoteza muda.
  Wanasahau kuwa madhila wanayowafanyia waislam ndo yanazidi kuwaimarisha na kuwaamsha waislam walolala.
  Inatufanya tujue maadui wetu, mbinu zao na tabia zao.

  Na kwa wasio waislam inawafanya wapate hamasa ya kuutafiti uislam ili kujua unakitugani hasa mpaka unapigwa vita namnahiyo.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...