Jaman 299,000 inataka kunizuia kumaliza Chuo kikuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jaman 299,000 inataka kunizuia kumaliza Chuo kikuu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Malingumu, Sep 21, 2012.

 1. Malingumu

  Malingumu JF-Expert Member

  #1
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 478
  Likes Received: 195
  Trophy Points: 60
  Habari wanaJf,mi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu chuo kikuu huko Dodoma,umebaki mwaka mmoja ili niweze kumaliza masomo lakini kwa jitihada nlizofanya mpaka sasa ili niweze kulipa ada yan tuition fee 160,000 na accomodation 119,000 na exam fee 20,000 zimeshindikana.sina msaada kutoka kwa ndugu yeyote na baba yangu aliyekuwa akinisaidia amefariki hivyo nimebaki na mama ambaye ni mzee na hafanyi kazi.naomba msaada wenu jaman.. Mungu awajalie.
   
 2. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 25,252
  Likes Received: 7,072
  Trophy Points: 280
  Mpwa nimekuelewa sana, pole kwa hayo yote ni changamoto za maisha, nikipata hata wekundu kadhaa sitaweka hadharani tutakutana kwenye PM lakini pia ikishindikana naomba isiwe deni. Be Blessed Mpiganaji
   
 3. baba junior

  baba junior Senior Member

  #3
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 21, 2012
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  pole sana,muombe mungu utafanikiwa.mchango wa hali.
   
 4. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #4
  Sep 21, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,571
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Jitihada ulizofanya ni zipi? Kwanini unakuja kuomba msaada wakati chuo ndio kinafunguliwa kumaanisha hata kama mtu akitaka kukupa kazi ya thamani hiyo hutakuwa na muda wa kuifanya!!!
  Ok, kwanza elezea jitihada ulizofanya so far...
   
 5. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #5
  Sep 21, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 25,252
  Likes Received: 7,072
  Trophy Points: 280
  Halafu mbaya zaidi ukimaliza chuo watakuambia huna uzoefu wa miaka mitano plus ili upate kazi nakama utatimiza masharti yote basi watakuambia toa kitu kidogo ili upate kazi....usiogope watakapokuambia hayo yote rudi tena tutakuchangia Mpwa. Thanks
   
 6. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #6
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,559
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 180
  Nenda kwa mbunge wako
   
 7. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #7
  Sep 21, 2012
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,085
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  pole sana inaamanisha kamanda hupati BOOM kabisa..? kama unapata BOOM na condition hupati BUMU mpaka ufanye registration , ushauri wangu ni huu unaweza ukatafutE jamaa zako wa karibu hapo chuo ambao wanaweza hata kukukopa likitoka bumu utawarudishia .. halafu utaishi kwa kukuunga unga maana 299,0000/= inalipika kwa BUMU halafu utaishi kimungumungu hii njia ni kama utakachochangiwA hakitakidhi kiasi
  .. WENYE MAPENZI MEMA NA KUFAHAMU SHIDA NA WATAKAOKUWA NACHO WATAKUCHANGIA ..
  kama na bumu huna pole sana kamanda..
   
 8. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #8
  Sep 21, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 480
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  unasoma course gani? kwani dunia imebadilika sana naweza kukusaidia ila nijue kuwa kweli ni muhitaji naomba attach kitambulisho chako ikiwezekana kwani nina fungu lakumi nataka nilipe hivyo fanya faster kabla ya mwisho wa mwezi na pia kumbuka nitaconfirm na proffessor mmoja hapo chuoni kama kweli wewe ni mwanafunzi kabla ya kulipa......barikiwa na ukatoe msaada kwa mtu mwingine upatao ajira na ukumbule kulipa fungu la kumi....huta nifahamu mimi kwani baada ya kuconfirm nitakuwekea pesa hiyo....
   
 9. Malingumu

  Malingumu JF-Expert Member

  #9
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 478
  Likes Received: 195
  Trophy Points: 60
  haina shida,all the best!
   
 10. Malingumu

  Malingumu JF-Expert Member

  #10
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 478
  Likes Received: 195
  Trophy Points: 60
  nimekuelewa.all the best
   
 11. Malingumu

  Malingumu JF-Expert Member

  #11
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 478
  Likes Received: 195
  Trophy Points: 60
  katika kipindi chote nlichokuwa likizo nimejaribu kutafuta japo kijikaz flan but imeshindikana,nimejaribu kuseek kwa ndugu na friends hata kwa kuazima imeshindikana.
   
 12. Malingumu

  Malingumu JF-Expert Member

  #12
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 478
  Likes Received: 195
  Trophy Points: 60
  nasoma BACHELOR OF ARTS IN PROJECT PLANNING MANAGEMENT AND COMMUNITY DEVELOPMENT.
   
 13. kibol

  kibol JF-Expert Member

  #13
  Sep 22, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 3,015
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  BA(PPM&CD),hongera ndugu yangu cuz unasoma course nzuri.
   
 14. analysti

  analysti JF-Expert Member

  #14
  Sep 22, 2012
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 677
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 80
  Unamaanisha nini unaposema course nzuri??. Kwamba ina jina zuri au??. Hii ni Tanzania, msaidie mtu, siyo kumhadaa kwa maneno yasiyokuwa na uhalisia hata kidogo!!
   
 15. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #15
  Sep 22, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,580
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Hujajieleza vizuri sana kwa mwanaharakati huru anaweza saidia wewe ndugu yangu! PM yeye
   
 16. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #16
  Sep 22, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,014
  Likes Received: 558
  Trophy Points: 280
  Pole sana mUNGU atakusaidia wenye moyo tutaguawa, lkn aio ww tu hapo UDOM hutafukuzwa kwa deni, wapo waliogoma kusaini mikopo yao zaidi ya mamilioni hawatafukuzwa ila hawatapewa vyeti mpaka wamalize deni.au wasaini mikopo waliyotumia wtaillipaje
  Nenda kamalizie mwaka ufumbuzi utapatikana
   
 17. Nyangomboli

  Nyangomboli JF-Expert Member

  #17
  Sep 22, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,103
  Likes Received: 469
  Trophy Points: 180
  mdogo wangu unaomba msaada kwa kutumia jina bandia? Weka jina lako halisi watu wafanye utafiti watakusaidia tu.
   
 18. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #18
  Sep 22, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,525
  Likes Received: 2,446
  Trophy Points: 280
  Wabongo wanapenda sana misaada. Kuna opportunity nyingi sana, unaweza kujituma na kupata hilo fungu. Tatizo wanafunzi wa vyuo vikuu mnajifanya matawi ya juu, wakati nyumbani baba amevurunda. Jarbu kutumia akili, misaada ina dumaza akili.

  Pia, kwasasa ni vigumu kumuamini mtu yeyote kuwa ana matatizo. Watanzanzia ni wepesi sana "kupretend" matatizo.

  Nakushauri ujarbu kutumia akili ya kuzaliwa na hiyo uliyoipata shule, ikuwezeshe kupata hilo fungu. Opportunity zipo, tatizo vijana hamtaki kufikiria.

  Nakutakia kila la kheri. Mungu akuongoze.


  "think positive, live by design, not by default".
   
 19. Malingumu

  Malingumu JF-Expert Member

  #19
  Sep 23, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 478
  Likes Received: 195
  Trophy Points: 60
  sawa mzee.
   
Loading...