Msaada; Wapi nitawapata watengenezaji wa mifuko ya plastic ya kupaki bidhaa mbalimbaili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada; Wapi nitawapata watengenezaji wa mifuko ya plastic ya kupaki bidhaa mbalimbaili

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mgoda simtwange, Sep 23, 2012.

 1. M

  Mgoda simtwange Senior Member

  #1
  Sep 23, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 158
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Tafadhali naomba kwa yeyote anayejua watu, sehemu mahali ambako wanatengeneza mifuko ya plastic kwa ajili ya packaging (kupack) bidhaa kama mchele, maharage, nk anajulishe. Ninahitaji mifuko yenye uwezo wa kuhifadhi uzito kuanzia robo kilo, nusu kilo, kilo 1, kilo 2, kilo 5, na kilo 10
   
 2. Mshuza2

  Mshuza2 JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 4,115
  Likes Received: 1,745
  Trophy Points: 280
  Fungua website ya Bakhresa ana kiwanda cha hiyo mifuko upate location, ila ujipange.
   
 3. echuma

  echuma JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2012
  Joined: May 20, 2010
  Messages: 326
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Ni pm nikupe maelekezo

  Sent from my BlackBerry 8520 Âœusing JamiiForums
   
 4. Ze burner

  Ze burner JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Tanzania bado bado kidogo. wengi wanaagiza Kenya. Kama uko poa ni PM nikuunganishe na jamaa h
   
Loading...