Ma vampire wanaishi wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ma vampire wanaishi wapi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by EMMANOS, Sep 23, 2012.

 1. E

  EMMANOS Member

  #1
  Sep 23, 2012
  Joined: Sep 20, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mimi ni shabiki wafilum hasa za kutoka majuu lakini nimekuwa nikutana na filum zinazo zungumzia maisha ya viumbe vinavyo julikana kama vampire! miongoni mwa filum hizo nikama The blades(1,2,3 & 4),Underworld(1,2 & 3),Interview with vampire,Being human(season 1 & 2),Twilight,Twilight(New moon), Twilight(Saga) and Twilight(Eclipse),Vampire diary,Bloodtyres,the hunger and Trueblood(seasons 1,2,3,4 & 5) filum zote hizi zina zungumzia maisha ya ki vampire kwa mtazamo wa aina moja pamoja na jami ilenyingine hasimu ya vampire inayo itwa WEREWOLF Ingawa filum hizi zime tayarishwa na makampuni tofauti na wasanii tofauti.Swali ni je Viumbe hawa wapo?/wali wahi kuwepo? na je wanishiwapi?/waliwahi kuishi wapi? by EMMANOS
   
Loading...