Standi ya Mabasi ya Mikoani Dodoma ni mtego wa Boss | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Standi ya Mabasi ya Mikoani Dodoma ni mtego wa Boss

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ukwaju, Oct 5, 2012.

 1. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #1
  Oct 5, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Standi ya mabasi ya Mikoani imehamishiwa nje ya Mji Kilometa 8 kabla hujaingia Mjini tokea Morogoro eneo la Nzuguni NaneNane yalipokuwa Maonesho ya Kilimo ya Kitaifa kanda ya Kati
  Uwanja huu upo chini ya TASO ambayo ipo chini ya Mkuu wa Mkoa Dodoma
  Tatizo limeanzia baada ya Kampuni ya Reli kudai inataka uwanja wake ambao unatumiwa na Stand ya Mkoa, wakati Standi halali uwanja wake upo Njedengwa ilipo NHC km CDA Mamlaka ya mji ilivyopanga
  Kosa la 1 ni kutoza kiingilio sh 200/ kuingia Nzuguni Stand wakati humo ndani choo sh 500/
  Kosa lla 2 usafiri kutoka Mjini alfajiri sh 10,000/ hadi 15,000/ toka Nkuhungu hjia ya Singida
  La 4 Mkuu wa Mkoa kwa vile TASO tunawajua na ulaji wao wa Nanenane usijiingize na mkajifanya km Ubungo Terminal mtaumiza wasafiri wanaotumia njia zote 4 Singida, Iringa/Mtera, Arusha /Kondoa na Shirika la Reli wataumia (kwa njia za kutoka Dar ni ya Morogoro na Kilwa road tu)
  5 Pia mmepandisha gharama za wasindikizaji na wapokeaji bora muweke vibanda vya ticket nje ya uwanja au Mkuu wa Mkoa shirikiana na CDA km huna mkono hapo
   
 2. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Embu andika vizuri ueleweke umejichanganya sana
   
Loading...