Harambee Ya Mjane Wa Mwangosi Imekamilika: Kiasi Kilichopatikana Na Orodha Ya Waliochangia...

maggid

JF-Expert Member
Dec 3, 2006
1,084
1,246
1. Chris Cremence 100,000
2. Anonymous 500,000
3. Maggid Mjengwa
100,000
4. Raymond Kasoyaga 20,000
5.Edward Mgogo 10,000
6.Joachim Kiula 5,000
7.Libory Muhanga 5,000
8.Geofrey Kagaruki 10,000
9.Sadiki Mangesho 10,000
10. Edwin Namnauka 40,000
11.Daud Mbuba 10,000
12. Anonymous 200,000
13.Mikidadi Waziri 6,000
14. Bungaya Mayo 5,500
15. Abraham Siyovelwa 50,000
16. Godfrey Chongolo 22,222
17. Jacob Mwamwene 51,000
18. Denis Bwimbo 153,683
19. Zanzibar Ni Kwetu 150, 464
20.Felex Mpozemenya 10,000
21.Rweyendera Ngonge 11,000
22. Festo Temu 10,000
23. Azaria Mulinda 10,000
24.Khatibu Kolofete 5,000
25. John Bukuku 25,000
26. Abel 10,000
27. Hafidh Kido 10,000
28. George Mtandika 16,000
29. Shy-Rose Bhanji 200,000
30. Raymond Nkya 52,000
31. Maganga Sambo 10,000
32. Felix Mwakyembe 10,000
33. Abdul Diallo 5,000
34. Newton Kyando 20,000
35. Galanos Myinga 20,000
36. Anonymous ( 200 Euro) 497,000
37. Yasinta Ngonyani 50,000
38. Prosper/ Willy ( Japan) 314,000
39. Nuru Mkeremi 131,000
40. Anonymous 50,000
41. Josephine Mahimbo 50,000
42. Anonymous 150,000
43. Heladius Macha 30,000
44. Emma Malele 10,000
45. Anonymous 60,000
46. Hendry Mlay 35,000
47. Hosea Ngowi 10,000
48. Athuman Zuber 5,000
49. Hyancinth Komba 7,500
50. Edson Kihongole 11,500
51. Godfrey Emmanuel 20,500
52. Deus M 27,000
53.Sigisto Amon 10,000
54.Issa Kubonya 10,000
55. Richard Dalali 6,000
56.Fadhili Mtanga 20,000
57. Polycarp Ngowi 5,000
58. Salehe Mfaume 10,000
59. Deodatus Balile 20,000
60. Moses Ringo 15,000
61. Dr Rukoma 100,000
62. Mobhare Matinyi 100,000
63. Humphrey Simba 16,000
64. Fredrick Kyambile 10,000
65.John Mwakyusa 20,000
66. Abdul Njaidi 40,000
67. Fidelis Francis 10,000
68.Mutachumwa Mukandala 10,000
69. Augustino Lukosi 12,500
70. Goodluck Arobogast 20,000
71. Lusajo Mwasaga 15,000
72. Carolina Reynolds 5,500
73. Rugenamu Kawa 30,000
74. Innocent Kimario 5,000
75. Jumuiya Ya Watanzania UK 1,000,000
76. Josephat Mwagala 150,000
77. Sara Mawere 5,000
78. Deograsias Hyasini 15,000
79. Anonymous 10,000
80. Said Kambi 20,000
81. Cassian Mayega 10,000
82. Mary Glad 5,000
83. David V 153,000
84. Anonymous 100,000
85. Lingson Adam 21,500
86. Augustus Fungo 25,000
87.Seka Henjewele 5,000
88.Deusdith Bishweko 5,000
89.Robert Clemens 10,000
90.Isak Kabingo 10,000
91.Irene Massawe 10,000
92. Oliva Bujulu 11,000
93. John Lemomo 10,000
94. Joseph Rocket 500
95. Prosper Simon 5,500
96 Andy Mwakibete 2,000
97. Ramadhani Kasonso 20,000
98. Anonymous 11,000
99. Jenga Ngalawa 200,000
100.Stanslaus Nnyari 5,000
101.Luth Twissa 75,000
102. Mdodi Mlelwa 2,000
103. Hatibu Kiobya 5,000
104. Benjamin Mkalava 5,000
105. Manfred Mjengwa 11,000
106. John Malanilo 12,000
107. Lutgard Kokulinda Kagaruki 20,000
108. Kazikupenda Chale 25,000
109. Boniface Sechuma 10,000
110. Edmund Temu 5,000
111. Edwin Moshi 5,500
112. Syldion Semazina 5,000
113. Pastoc Shelutete 50,000
114. Ananilea Nkya 50,000
115. Lucy Bwana 21,000
116. William Genya 25,000
117. Anonymous 300,000
118. Adam Bakari 21,000
119. Gilbert Mkindi 5,000
120. Meriki Kinuno 5,000
121. Samuel Nguyaine 25,000
122. Josephat Godfrey 15,000
123. Anold Mturi 1,500
124. Gadiel Malisa 5,000
125. Ebenezer Mshana 11,000
126. Mussa Kopwe 1,000
127. Emmanuel Kitomari 6,000
128. Stella Kisale 2,000
129. Kahitwa Bishaija 20,000
130. Lucy Massawe 1,000
131. Valentini Temba 10,000
132. Victor Lucas 2,000
133. Irene Mdami 5,000
134. Killey Mwitas 10,000
135. Godwin Mushi 2,000
136. Adinani Madawili 2,000
137. Bryson Munisi 20,000
138. Sarah Beckham 50,000
139. Chrispin Modestus 11,000
140. Luiham Ringo 11,000
141. Marko Gideon 5,000
142. Peter Msuya 2,000
143. Maria Mvula 5,000
144. Safina Mbwelei 15,000
145. Sebastian Ivambi 15,000
146. Jackson Minja 1,000
147. Joseph Swai 5,000
148. Albino Simbila 8,000
149. David Sheshe 21,000
150. Nichs Kutumiwa 1,500
151. Mwanaidi Swedi 5,000
152. Mwajuma Abdalla 2,500
153. Richard Azrikamu 20,000
154. Mahafudh Nassoro 10,000
155. Anonymous 50,000
156. John Maboja 2,000
157. Asajile Mwalukasa 10,000
158. Solomon Rwangabwoba 100,000
159. Daniel Majalla 11,000
160. Anonymous 2,000


Jumla: 5,505,000 ( Shilingi Milioni Tano Na Laki Tano Na Tano Elfu )

Mjengwablog, na kwa niaba ya Itika Mwangosi, mjane wa marehemu Daud Mwangosi inawashukuru kwa dhati wale wote waliojitolea kwa hiyari zao kumchangia mjane wa marehemu ili aweze kupata mtaji wa kuanzisha shughuli za kujikimu uweze kumsaidia yeye na watoto wake wanne. Na kama alivyotamka mjane wa marehemu; " Mungu ndiye atakayewalipa".

Na hapa natangaza rasmi kufungwa zoezi hili la harambee. Kutakuwa na siku mbili, kesho na keshokutwa za kupokea taarifa zozote zenye kuhusiana na kasoro katika kuorodhesha majina na kiasi, maana, kazi hii ya kuratibu imefanywa na mimi kama mwanadamu, yumkini kuna aliyechangia lakini jina lake halijatokea, na anayo kumbukumbu ya alichomchangia mjane wa marehemu, basi, awasiliane nami ili turekebishe kasoro hizo.

Baada ya siku hizo mbili, fedha zote zilizokusanywa zitaingizwa kwenye akaunti ya mjane wa marehemu na vielelezo vya kibenki vitawekewa hapa mtandaoni kama kumbukumbu.

Nichukue fursa hii kuwashukuru nyote, mliochangia na hata ambao hamkuchangia kwa fedha bali kwa kuniunga mkono kwenye kazi hii ya kuratibu michango , hivyo basi, kwa namna moja au nyingine, nanyi pia mmeshiriki kwenye kumchangia mjane wa marehemu.

Wenu,

Maggid Mjengwa,
Iringa.
0788 111 765

<b>TAARIFA MUHIMU: Wachangajiaji niliowatambulisha hapo juu kama ' Jumuiya Ya Watanzania UK' wameomba mchango wao wa shilingi milioni moja na kumi na tano elfu na mia tano urudishwe kwao ili wauwakilishe wenyewe kwa mjane wa marehemu kwa vile mchango wao ulipaswa utambuliwe kuwa umetoka kwenye chama chao cha siasa tawi la huko UK. Michango kwenye Mjengwablog haifungamani na itikadi za kisiasa.</b>
 
Hongera. ukweli na uwazi ndivyo vitu vinavyohitajika katika maisha.
 
Ukitaka kujua waandishi wa habari makauzu soma orodha hiyo, wote wale wenye makelele hayumo hata mmoja kwenye orodha hiyo. Walikuwa wanasema mapovu yanawatoka midomoni mwao kumbe wapi, walitaka tu kuonekana kideoni. Orodha ya wachangiaji waliojificha majina Anonymous hawazidi 10 wasijidai wapo humo.

Ningeweza kuwataja wasanii wa misibani ili tulinganishe na mineno yao waliyoitoa JANGWANI kama inarandana na hali halisi. Anyway dhamira itawasuta sasa.
 
Ubarikiwe Maggid, umeonyesha hisia na moyo wa kitanzania unaoendelea ku potea siku hizi.
 
Mjengwa alipotoa msimamo wake kuwa ataandika habari za polis wana jf asilimia kubwa walimulaum ila mimi nilimsifu kwa kuonesha msimamo wake ila baada ya muda haohao ndo ndo wameandika habari hizo huo ni usaliti. Nampongeza mjengwa kwa kuratibu zoezi hili ambalo limemsaidia mjengwq
 
Hivi naomba kupenda kujua sheria haiwezi kumsaidia mjane kulipwa na serikali kwa uonevu ule na kuuawa makusudi kwa mume wake??je haifanani na mauaji ya James Kombe??wanasheria wako wapi?Tamwa wamsaidie huyu mama kufungua kesi ya madai!!!
 
Ukitaka kujua waandishi wa habari makauzu soma orodha hiyo, wote wale wenye makelele hayumo hata mmoja kwenye orodha hiyo. Walikuwa wanasema mapovu yanawatoka midomoni mwao kumbe wapi, walitaka tu kuonekana kideoni. Orodha ya wachangiaji waliojificha majina Anonymous hawazidi 10 wasijidai wapo humo.

Ningeweza kuwataja wasanii wa misibani ili tulinganishe na mineno yao waliyoitoa JANGWANI kama inarandana na hali halisi. Anyway dhamira itawasuta sasa.

Kuchangia kuko kwa aina nyingi sheikh,
Mjengwa hajateuliwa na familia kua msimamizi mkuu wa michango kiasi cha kwamba michango YOTE lazima ipitie kwake, la hasha.

Bali amejitolea tu kufanya hivyo, pengine hao unaowataja kupitia taasisi zao nao wana michango yao wenyewe for the same purpose.
 
Ukitaka kujua waandishi wa habari makauzu soma orodha hiyo, wote wale wenye makelele hayumo hata mmoja kwenye orodha hiyo. Walikuwa wanasema mapovu yanawatoka midomoni mwao kumbe wapi, walitaka tu kuonekana kideoni. Orodha ya wachangiaji waliojificha majina Anonymous hawazidi 10 wasijidai wapo humo.

Ningeweza kuwataja wasanii wa misibani ili tulinganishe na mineno yao waliyoitoa JANGWANI kama inarandana na hali halisi. Anyway dhamira itawasuta sasa.
kaka nami nimesoma kwa makini sijaona majina yao au macho yangu
 
Inabidi apatikane na mtaalam/mshauri elekezi mambo ya baishara otherwise pesa hii inaweza potea biashara kitu ingine kabisa. Unless mjane ni mjasiriamali/anazo ethics za ujasiriamali tangiapo
 
Inabidi apatikane na mtaalam/mshauri elekezi mambo ya baishara otherwise pesa hii inaweza potea biashara kitu ingine kabisa. Unless mjane ni mjasiriamali/anazo ethics za ujasiriamali tangiapo

Kweli mkuu, biashara ina elimu yake! maggid Mjengwa kama ataweza amtafutie mtaalamu wa ujasiriamali au yeye mwenyewe ampe shule huyo mama!
 
Last edited by a moderator:
Kuchangia kuko kwa aina nyingi sheikh,
Mjengwa hajateuliwa na familia kua msimamizi mkuu wa michango kiasi cha kwamba michango YOTE lazima ipitie kwake, la hasha.

Bali amejitolea tu kufanya hivyo, pengine hao unaowataja kupitia taasisi zao nao wana michango yao wenyewe for the same purpose.

Acha kuwatetea hao watu, sasa tusubiri tuone.
 
Back
Top Bottom