Raisi ajae 2015 ni mwenye sifa zifuzo. kwanza nilazima awe muadilifu.2 Mzalendo.3 Mpenda haki.4 Anaesimamia misimamo yake.5 Mwenye busara. kwa kutumia sifa hizo tano au vigezo hivyo unahisi nani...
Hivi watanzania tumelogwa, tumelaaniwa? Kwa nini kila mradi wa ujenzi mabarabara unafanywa na wachina? Hii ina maana gani kwetu wazawa? Na board yenu bora tu ivunjwe haina msaada wowote kwenu...
Imeniwia vigumu kuelewa Nimesimamishwa na traffic wanakuja watu wengine wanasema wanatokea interpol wanaomba kukagua gari na hawatoi maelezo mengine mpaka niulize kwa ajili ya nini, wanajibu...
Miaka kumi iliyopita mwanahabari mmoja aliwahi kuandika hivi:
Kuepusha fedheha kwa nchi mskini, kwanza lazima nchi msikini zitafute njia bora za kuleta maendeleo kwa wananchi wao Kwa kutumia...
1. Once, all villagers decided to pray for rain, on the day of prayer all the people gathered but only one boy came with an umbrella ..... THAT'S FAITH
2. When you throw a baby in the air, she...
Kama vile haya mambo yalijulikana kabla
tume ya katiba imedai ni ngumu kupata katiba kwa muda waliopangiwa ati imekuwa ngumu
kupata maoni ya kila wananchi kama inavyotakiwa na hivyo kuomba...
Wafanya kazi wa Tanzania hasa wa sekta binafsi, kwa namna moja au nyingine matumaini yao makubwa yapo katika bunge lijalo. Kuona ni kwa jinsi gani sheria kandamizi ya mafao ya kujitoa itakavyo...
mkutano wa hazara uliofanyika jana kata ya magomeni Kilosa ulizihirisha kuwa serikali ya CCM isivyo wajari watz baada ya mkuu wa wilaya kuwapa ushilikiano wahujum uchumi walio vunja miundombinu ya...
World Animal Day04 Oct 20124 October every year: Celebrating our relationship with the animal kingdom.
The aim of World Animal Day is to celebrate animal life in all its forms as well as...
Michelle Obama famously forgot her first wedding anniversary to her hubby, Barack. The week of the couple's first marriage milestone, as Michelle recalled on "The View," "He asked me, 'Well, what...
Oregon farmer eaten by his pigs
Authorities are investigating how a farmer in the US state of Oregon was devoured by his pigs.
Terry Vance Garner, 69, went to feed his animals last Wednesday on...
Kwa anayefahamu sababu za aliyekuwa rais wa Marekani. Mr George Bush kuja na kukaa Tanzania kwa siku nne. Akiwa na mwenyeji wake rais Kikwete. Nini hasa lilikuwa lengo lake.
Simba vs Yanga,...ni dose nono inatolewa na simba kwa wale wakijani si kawaida!...Kama gemu linawashinda baaasi nendeni kutunga shanga chini ya miti Bwagamoyo hukoooo!!...twachapa ka hatuwajui.
Kuna kila dalili kuwa wauza mafuta wamegoma tena kufuatia kushuka kwa bei ya Petrol na Diesel kwa mujibu wa bei elekezi iliyotolewa na EWURA kwa mwezi wa Octoba ambapo Petrol imeshuka hadi sh...
Ndugu zangu,
Ninaomba msaada wenu kwa yeyote anayejua dawa nzuri ya kukabiliana na panya,wadogo kwa wakubwa.Panya ukiweka sumu chakula hawakili,ila ukiweka chakula kisicho na sumu unakuta sahani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.