Kashfa ya ajira TANAPA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kashfa ya ajira TANAPA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by magessa78, Aug 16, 2012.

 1. magessa78

  magessa78 JF-Expert Member

  #1
  Aug 16, 2012
  Joined: Sep 28, 2009
  Messages: 271
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Je, ni rahisi kwa taasisi kubwa kama Tanapa kusahihisha written interview (yenye maswali 25) ya zaidi ya watu 800 kwa masaa ma 5 tu na kutoa matokeo kuwa watu 30 pekee ndo wamefaulu kuendelea na oral interview?!

  ninasema hivyo kwa kuwa naona kama kuna rushwa na kujuana maana haingii akilini zaidi ya watu 800 pepa yao kusahihishwa kwa masaa ma 5 halafu eti matokeo yanawaruhusu 30 tu na wanaarifiwa the same day kuwa keshoye warudi for oral interview.

  ni hivi:
  tarehe 13 august kulikuwa a interview ya nafasi mbali mbali za kazi katika Tanapa.interview ilifanyikia msimbazi center saa 3 asubui mpaka saa 5 asubui.maswali 25 yalipitishwa kwa watahiniwa ili wayafanye.ilipofika saa 11 jioni majina ya watu 30 waliofaulu kuingia oral interview yakabandikwa.sio matokeo ya watahiniwa wote waliofaulu,bali ni majina tu na wala haionyeshi maksi zao.
  nina wasi wasi matokeo na majina yalishapangwa kitambo na ile interview ilikuwa ni kutimiza wajibu tu..naomba vyombo vinavyohusika vilifuatilie suala hili ili kuondoa kujuana ndani ya taasisi hizi kubwa za serikali
   
 2. maria pia

  maria pia JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 516
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ndo kawaida hyo mkuu,tena c o tanapa tu,ni kila sehem hasa kwny taasisi kubwa za serikali...yale matangazo ya kazi ni danganya toto 2,huwa na majina yao tayari
   
 3. kupe

  kupe JF-Expert Member

  #3
  Aug 16, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 1,025
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  ulitaka majibu hadi week au mwezi wakati matokeo wanayo hata kabla ya hiyo interview. kawashtaki takukuru
   
 4. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #4
  Aug 16, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Ukitaka kuumia zaidi pata cv za waliopata hizo nafasi itabidi upumzishwe kwa muda pale mount meru hospitali, maana pressure itakuwa juu sana
   
 5. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #5
  Aug 16, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Sasa Mkuu hapo kashfa ni ipi, kutumia muda mfupi kusahihisha, au kuwa wepesi na kutoa majina haraka iwezekanavyo? Waulize lecturers kwenye most of our public universities kuwa mtu mmoja anasahihisha karatasi ngapi kwa muda gani ndo utuaminishe kama kuna kashfa au la. Ungetuhakikishia wasiwasi wako kwa kutueleza pia wasahihishaji wa interview yenu walikuwa wangapi na aina ya maswali ilikuwaje. Mie binafsi multiple choice questions za mashwali 25 naweza kumaliza kusahihisha karatai 1000 kwa saa moja na nusu kwa kuchelewa.
   
 6. kbosho

  kbosho JF-Expert Member

  #6
  Aug 16, 2012
  Joined: Jun 4, 2012
  Messages: 12,505
  Likes Received: 3,314
  Trophy Points: 280
  hasa mashkra ya mifuko ya kjamii
   
 7. m

  manushiboy Member

  #7
  Aug 16, 2012
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndugu JamboJema uko sahihi,wake mambo hayo wazi,si rahisi kila mtu anaye sahiliwa kufaulu usahili tukubali waliopata wamepata alafu tuendelee kusaka ajira kwingineko.
   
 8. sister

  sister JF-Expert Member

  #8
  Aug 16, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 9,026
  Likes Received: 3,932
  Trophy Points: 280
  mbona kawaida tena mpaka vituo vya kazi wameshapangiwa na kazi wameanza na kwenye hiyo interview hawakuwepo.
   
 9. C

  CAZINERICA New Member

  #9
  Aug 16, 2012
  Joined: Aug 8, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  he sasa wewe una aply kazi TANAPA na huna refer?/ hahahhaahhaaaaa, mi nilikuwa nipeleke aplicatn zangu nikaghairi,,,,coz nilijua ni kupoteza barua tu na hamna lolote
   
 10. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #10
  Aug 16, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,325
  Likes Received: 2,626
  Trophy Points: 280
  Hii ndio Tanzania, kuonewa ni sehemu ya maisha and nobody give the F...K
   
 11. N

  Ndamalishaz Member

  #11
  Aug 16, 2012
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hahaha unaongelea tanapa alaa huko c swala la kuuliza atii kujuanaa lazimaa watu tusha apply kazi huko mara kibao na qualifications tunazo hawatuchukuii ukiona watu wanaochukuliwa utabaki na mshangaooo ,,!!
   
 12. m

  markj JF-Expert Member

  #12
  Aug 16, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  duh! Kazi kweli kweli, hayo maswali 25 yenyewe ni ya aina gani?
   
 13. m

  markj JF-Expert Member

  #13
  Aug 16, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Duuh! Sasa sipapatii picha nhif huko mana kama mamo ndo haya
   
 14. M

  MILLIONS MOVEMENT Senior Member

  #14
  Aug 16, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu,
  Hii hoja ukiiangalia kwa wepesi jibu lako linaweza kuwa sawa,lakini kwa undani utagundua kuna tatizo naanza na hili,

  Kuna interview ilifanyika Dodoma chuo cha Hombolo tarehe 7/8/12 kwa maswali ya kujieleza ya professional yalikuwa 5 kwa watu zaidi ya 200 na yalisahihishwa na watu wengi wao hawakuwa professional kwa kutumia marking scheme.Nafikiri unajua tatizo la marking scheme kwa professional level kwani mara nyingi inatumika professional judgement kwa kitu husika.
  Tarehe 10/8/12 mtihani ule ule ulienda kufanyika Arusha kwa watu tofauti na wengine walikuwa kwenye mtihani wa awali pale Hombolo.Kwa maana hii kuvuja kwa interview hizi ni kukubwa na hata paper inapoletwa inakuwa wazi(not sealed).

  MY TAKE;
  Umefika wakati sasa hizi interview kwa maana ya mitihani itungwe na kusimamiwa na Bodi za kitaaluma km Bodi za engineering,uhasibu,udaktari na n.k.Tume ya utumishi ibakize kushortlist majina yapelekwe bodi husika na mtihani wa mchujo then kwa ajili ya oral ifanywe na tume ya utumishi kushirikiana na mwajiri mtarajiwa.
   
 15. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #15
  Aug 16, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  HAPA KWENYE BLUE nakubaliana na wewe, ila mleta mada anatulazimisha tuamini kuna kashfa bila kutupa clues zilizoshiba za tuhuma zenyewe. hili ndo tatizo langu. Muda wa kusahihisha na kutoa majibu nilitegemea lilikuwa la kupongezwa na si kuwa kigezo cha kukosa uadilifu!
   
 16. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #16
  Aug 16, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Wakati nipo chuo mzumbe kuna classmates alikuwa anatutania

  "Mkinipita kwenye gpa mimi nitawapita kwenye soko la ajira"

  Alikuwa anasoma kivivu kweli tukajua atapata shida sana kwenye soko na gpa yake ndogo, uliza alichotufanya baada ya kumaliza chuo alianzia kazi tanesco hata majibu hayajatoka and then akaamia zake tra wakati wenye gpa kubwa mpaka leo tunasua sua, yaan dogo anachagua kazi kama zake alipata bot mwanza akasema hawez kuondoka dar akaamua kubaki tra... Watoto wa kishua wana raha sana mjini hapa, kila kitu kinaenda kwa mteremko wakati watabe wanasota
   
 17. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #17
  Aug 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,070
  Likes Received: 6,533
  Trophy Points: 280
  hayo matangazo ya nafasi za kazi ni kupotezeana muda tu kumbe, hii nchi hii haifai kabisa.
   
 18. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #18
  Aug 16, 2012
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,570
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  kwa vyovyote vile bado sijaona sababu ya kuita watu zaidi ya 305 kwa ajili ya kushindania nafasi 2....wameshidwa kujuja hata wabakishe 20 hivi? ..............TANAPA IT-Analysis nafasi 2 wanaita watu 305
   
 19. M

  MILLIONS MOVEMENT Senior Member

  #19
  Aug 16, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli suala la muda wa usahihishaji sio tatizo,labda alitakiwa aeleze kama mtihani huo ulisahishwa na watu wasio na taaluma huska na aina ya mtihani kama multiple choice au true or false.
   
 20. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #20
  Aug 16, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,613
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Yaani kaka ndo unagundua leo kua nchi híi haifai?...mi toka 1995
   
Loading...