Ukipita barabara ya Morocco-Posta,maeneo ya Upanga pana Nuka balaa na sipendi ile njia kwa hilo tu!.

Mdau Makini

Member
Sep 18, 2012
70
10
Wakuu kuna harufu mbaya Sana katika Barabara ya Morocco kwenda Posta zaidi maeneo ya DSTV kwa mbele,UPanga, mpaka Surrender Bridge pale!. Kutokana na harufu ile hata sipendi hata kupita ile njia!.Hivi ile harufu inatoka wapi wakuu??. Au nai experience mimi tu jamani??. Hivi serikali haiwezi kufanya ustaarabu wa kupunguza ile harufu jamani ili kuongeza hadhi ya jijii??.Naomba nipeni mawazo wakuuu!.
 
U karibu wa sewarage ndiyo chanzo. Niliwahi kuuliza nikaambiwa nchi zingine hali ni hivyo hivyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom