Wekeni MALUMBANO YA HOJA ITV Msikie Habari za Muungano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wekeni MALUMBANO YA HOJA ITV Msikie Habari za Muungano

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Baba Matatizo, Oct 4, 2012.

 1. B

  Baba Matatizo JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2012
  Joined: May 5, 2011
  Messages: 335
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Dah kweli Mdaharo ni Mkali na ndo Unaanza.
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Mkinga kisukari kmemmaliza naona karudi na fikra za kimagamba!!
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Mkinga siku hizi mbona mkimya sana!!! Pole kwa kuumwa mzee Mkinga!
   
 4. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #4
  Oct 4, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  mkinga augua kisukar bana pole mkuu
   
 5. d

  dr chris Member

  #5
  Oct 4, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkinga na mavazi ya magamba atarajie fadhira c ajabu ukasikia ameukwaa u-disii.na huyu dogo wa udsm amemgusa pabaya pole
   
 6. Mwakitobile

  Mwakitobile JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2012
  Joined: Oct 4, 2012
  Messages: 453
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kwahiyo unashangili yeye kuwa na kisukari?gamba bichi we!
   
 7. Mwakitobile

  Mwakitobile JF-Expert Member

  #7
  Oct 4, 2012
  Joined: Oct 4, 2012
  Messages: 453
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kwahiyo ulitaka avae gwanda zenu za migambo?
   
 8. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,754
  Likes Received: 1,790
  Trophy Points: 280
  daa mkinga amewaponda chadema..........sera ya majimbo
  daa mkinga amewaponda cuf..........sera zao
  ahimiza.....ccm ndo chama pekeeee na amesema yeye ccm damudamu........
   
 9. rugumye

  rugumye JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 561
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mimi sikubahatika kuangalia kipindi hicho lakini hapa kazini kwangu kuna staff mwenzetu alikuwa amepangiwa kituo cha kazi Zanzibar kama driver yeye ni mtu wa bara. kutokana na kubaguliwa na wazanzibar imebidi aombe kuhamishwa kituo cha kazi ili arudi Bara. anasimulia kuwa ilifika wakati akanyimwa hata sehemu ya kupaki gari katika ofisi ya wizara moja ambayo sisi tunafanya nao kazi kawapa support. ilimbidi kuripoti kwa katibu mkuu wa wizara. kwa bahati nzuri katibu mkuu ni mwelewa akawasema sana wale drivers akawambia waache upemba. staff wetu aliendelea kuvumilia lakini hali ilizidi kuwa mbaya kwaani ubaguzi ulizidi na akaona maisha yake yako hatarini hivyo ameamua kurudi Bara tangu juzi. JAMANI HALI SIYO ZENJ. UBAGUZI WA ZENJ UNAKARIBIA ULE WA MAKABURU AFRIKA KUSINI. katika ofisi za bara kuna wazanzibar kibao wanafanya kazi na wamejenja na wala hakuna misukosuko wanayoipata.
   
 10. B

  Baba Matatizo JF-Expert Member

  #10
  Oct 5, 2012
  Joined: May 5, 2011
  Messages: 335
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Wabara hatupendwi Zanzibar.WANADAI SISI NDO CHANZO CHA Kuharibu Maadili yao.WANATUITA 'MABICHWA'
   
Loading...